haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,829
- 4,614
Aisee msaada kidogo nilikua nayo hiyo app nikarest simu baada ya ku download upya keepsafe na ku login kwa email yangu inakataa nifanye vipi hapo?Me natumi KEEPSAFE kaz ya app hii na faida yake ni kuifadhi picha ukidowload unaikingia kwa kutumia email na password inaifadhi picha ata simu yko ikipotea na pale utaponunua simu nyngne basi picha zako utazikuta pamoja na videos na documents nyngne unazotaka kuifadhi