Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Vip mkuu ni mpaka simu iwe rooted ndio unaweza kuitumia???
 
Quora
Livescore
Memo
Wordweb
Shazam
Uber
Aliexpress
17track
Biblia
Any.do
Map
E.t.c. zipo nyingi
 
Simu yangu ni tecno c9 nmetumia king root na ikifika asilimia 72 ndo inaniletea ujumbe huu, nifanyeje ili na mm niweze kuiroot simu yangu.
 

Attachments

  • 1478350479692.png
    22.8 KB · Views: 86
Tafuteni app moja inaitwa Terrarium Tv. Iko njema sana na hahitaji uroot simu.
 
Ivi hakunaga Application ambayo itakuwa na uwezo wa Kuscan Contacts kila baada ya wiki/mwezi kudetect namba ambazo ni Useless (Hazitumiki) maana khna watu nina Contacts zao ila mawasiliano nao eti mpaka mimi niwapigie simu Asa nimechoka na huu upuuzi wakufuta namba Manually
Kama kuna mtu anaijua naomba anisaidie...
 
Sasa c uwa delete tu mpk App ya nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…