Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nko na tecno c9 mpya.nn faida ya ku root na hasara ni zip pia?
 
Hakuna group la whatsap, naona mnatuma tu namba, hapa hapa mnapata kila kitu applications za simu tu mnataka group au kuna dhamira nyingine
 
Naomba App ya kuedit Music na kukata ikiwa kama nmedownload wimbo una matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…