Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Anzia hapaHivi kuroot kuna maana gan?
- Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing children
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzia hapaHivi kuroot kuna maana gan?
chenga tyuu cjaelewa chochote, ngoja niendelee kutumia km ilivyo kwan kila kitu nakipata
Pole sana mkuu ku ROOT simu ni raha.chenga tyuu cjaelewa chochote, ngoja niendelee kutumia km ilivyo kwan kila kitu nakipata
Watu wanatoka waliko toka huko wanakuja kutuharibia utaratibu huku.Oya mnazingua mazee na hayo manamba yenu
raha ipi unaipataPole sana mkuu ku ROOT simu ni raha.
Hii hapa kiongiziNaomba App ya kuedit Music na kukata ikiwa kama nmedownload wimbo una matangazo
Raha ni ukishajua faida za ku root simu na kwanini unataka u root.raha ipi unaipata