Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.
Poa poa Mkuu
 
Same apply to me,
 
Mkuu hii cf auto root haina app nyenzio ambayo unatakiwa udownload pamoja? vp steps zake ni kama kingoroot tu au hii iko taofauti
Msaada tutani kidogo
 
App ya "Hangouts" kwa messages (SMS) inatoa muonekano mzuri sana.
Messages za kawaida zinakuwa kama Messages za whatsapp.
 
Msaada jamani tangu uzi huu unaanza nimejifunza na kuongezea vingi sana.Ila kunakitu tangu awali nakiona na sikielewi.Hivi kuroot cm ndiyo nn? Na kunafaida gani? Na inafanyikaje? Naomba somo tafadhali kuhusu "root"
 
Kiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.
unapotaka kudownload subtitles unatakiwa ujue ni aina gani ya movie unayotaka iwe na subtitle kuna moviez au series za blueray....hdtv....fum....msd.. ect.....kwhyo unachotakiiwa ufanye ili subtitle unayodownload iendane na movie yko unatakiwa ujue ni movie ya aina gani unayo angaliaa...kw mfano unaweza ukakuta labda unacheki movie inaitw
a #true_love_webrip.720 ....kwhyo ss iyo web rip ndo aina ya subtitle utakayoitafuta iki iweze kuendana saw
a na movie ya aina iyo....na VLC ndo media player nayoijua ambayo unaeza ukaadd subtitle uliyoidownload ktk movie yko......website nzuri kwa ajili ya kudownload subtitle ni [HASHTAG]#subscene[/HASHTAG] ukishafungua unasearch movie yko ztakokuja subs za movie yko utachagua ya aina ya movie yko na kuipakua
 
Msaada jamani tangu uzi huu unaanza nimejifunza na kuongezea vingi sana.Ila kunakitu tangu awali nakiona na sikielewi.Hivi kuroot cm ndiyo nn? Na kunafaida gani? Na inafanyikaje? Naomba somo tafadhali kuhusu "root"
cjui km maelezo yng yataweza kukuelewesha lakini kuroot simu inshort ni kitendo cha kuitoa warranty simu yko kw kampunu hucka....simu zko km zmewekwa lock na kampuni hucka..eg samsung tecno...yaan znafanya kazi zinazotambuliwa na kampuni hucka tu....unaporoot cm yko unakua umeiondoa ktk umiliki wa kampuni hucka kwa kuiwezesha kufanya program nyingi nje ya kampuni(na ndomaana program nyingi znazohtaj kuroot cm hazpatkani playstore kwsbbu hazna legal authorization ingawa zpo znapopatikana)....ss faida ya kuroot unapata program nyingi nzuri ambazo hazjawa legalky authorized by a manufacture wa kampuni yko....hvo bs vle vle inaweza ikakupa hasara km ukapata program labda ikaweza ku affect cm yko.. kumbuka tu unaporoot cm yko ata km umenunua leo dukani unakua umeiua warrnty yke
 
Yaani nimekuelewa mpaka basi so how to root?


Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hayo yote naelewa shida inakuja katika ku display(layout) ukiweka kwenye Tv baadhi huwezi soma vizuri hiyo subtitle hata kama inaendan na movie husika unakuta maandishi yanaachana sana ndio maana nikashauri labda aangalie kwa pc au simu ile subtitle husomeka vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…