Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hiyo App ukiijulia vizuri hutojuta, inafanya mambo mengi nje na hayo uliyo yaona.
Nina picha nikikuonesha huwezi amini kama zime editiwa na hiyo App.
Asante mkuu. Nzuri sana, naona ina na feature ya kucreate PDF. Nitaizoea taratibu bila shaka
 
Hiyo App ukiijulia vizuri hutojuta, inafanya mambo mengi nje na hayo uliyo yaona.
Nina picha nikikuonesha huwezi amini kama zime editiwa na hiyo App.
Hii app inaweza kuediti picha mfano kitu inabaki na rangi yake ila background inakuwa nyeusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…