Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwenye simu yako weka launcher ya L launcher ina kipengele cha ku hide App
e49fd3c84ce9e1a1d7a84a7a694838e9.jpg
Masaada kaka
 
anayejua jinsi ya kupata app kununua playstore kwa kutumua lucky patcher . smu yangu iko rooted tayar
 
google download utorrent.. au bitcoment au qbittorrent zote ziko poa tu
 
Wakuu, hivi kuna app ambayo naweza nikastream video from one phone to another? Let's say Mimi nina muvi kwenye simu yangu, then kuna rafiki yangu pia anataka kuichek muvi hiyo bila kumrushia kwenye simu yake. Is it possible wakuu?
 
Swali la kwanza huyo rafiki yako, upo nae mbali au mnaweza kuwa pamoja?
 
203b385bd7eff56909bf455ea988f36a.jpg

Hizi kwangu ndio kila kitu"

Insta Snapchat Twitter Na Tapatalk (Jf) hizo kama social media.
Whatsapp Hangout for sms conver

Zedge Kupata Wallpaper kali HD na ringtons.
Befunky kuedit pic na Photogrid kuresize photo kwa ajil ya Whatsapp dp and Instagram.

Poweramp kwa ajili ya music inanguvu sana.
MusixMatch for lyrics ukiplay music inadowload lyrics automatic
Videoder kudownload Videos mpaka mp3 direct from Youtube.
Opera as browser
Videoder inapatikanaje? Mwenye link yake atusaidie kutupia maana nasikia watu wanaisifia sana kwa kupakulia video za aina zote.
Mobdro bonge la app

Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda.
3d82d17fb7e8b73a5e39ed4e32095aac.jpg
 
Back
Top Bottom