Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jamani wana Jf, mimi nina playstore kwenye simu yangu. Naomba mnisaidie niwe na playsyore ya iphone apps, nataka kudownload apps za iphone au apple kwenye simu yangu

Tumaweza kua pamoja, tuseme few clicks from me eg. 3 mikes from me
3miles!! Ok ngoja waje wataalamu. Ila kama ni video ya kudawnload waweza mtumia link yeye aka dawnload pia, au uka iweka mediafire halafu uka share kwake.

Nauza box za kuflash simu,kama unahitaji ni PM.
sigma box
Z3x box (samsung + lg )
Volcano box
Nokia dongle
Advanced box
BEI POA SANA
Shiling ngapi?

• Thanks
Reactions: vdn
3miles!! Ok ngoja waje wataalamu. Ila kama ni video ya kudawnload waweza mtumia link yeye aka dawnload pia, au uka iweka mediafire halafu uka share kwake.
When I said 3 mikes I meant 3meters not miles. Yaan ifumction kama allcaster

Wadau ni application gani naweza tumia kurudisha picha na video zilizofutika kwenye simu baada ya kuiformat?

Back
Top Bottom