Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badili storage yako ya simu kwenda sd card. Nenda setting ya simu , storage ubadili default storage.Msaada plse memory card iko na empty space ila nashindwa kupakua vitu toka playstore inaniambia delete some items nn tatizo wadau
Hiyo namba line yake iwe kwenye simu na anza kwa +255 kama sikosei...Thanks kaka then nimeistall true caller inashindwa kuappy inaniambia verivication no wrong
Naipataje lucky patcher kwenye cmu yangu ambayo haiko rooted?Lucky patcher inaweza chakachua game bila simu kuwa rooted, ila inakuwa haikupi all acces yani inafunguka vitu vichache, tofauti na simu iliyo kuwa rooted inafunguka full.
Aisee u torrent ina virus mpaka bacKwa PC, pakua kwanza U_Torrent app kisha install, ni free, just google it.
Hafu tembeleaga zile websites za Torrents, mfano, Kickass Torrent kat.cr hapo utakuta movie unayoitaka na utapakua kwa msaada wa ile software uliyo install
Kwa simu za android MegaBox HD Hakuna mfano.
Mkuu hebu jaribu kuangalia na net yako, pia clear cache ya hiyo app mkuu halafu jaribu tena...Yaa namba iko kwa simu kaka nimeaanda na code izoo lakn bado shdaa
App zipo nyingi lkn hazipatikani playstore, tumia google tafuta moja kati ya hizi app kwa kuandika jina la app kisha malizia neno apk vidmate apk, showbox apk, popcorn apk nk...Habari wanajamvi, nahtaji kufaham progr. Nzuri ya kudownload movie. Asanteni
Tumia google andika tu lucky patcher apk zitakuja link uta dawnload.Naipataje lucky patcher kwenye cmu yangu ambayo haiko rooted?
Mobdro kupoteza chanel inategemea na net yako, pili nenda uka clear cache au uninstall na u install upya.Mobdro imepoteza chanel zote..tatzo nini..??
Tumia google andika tu lucky patcher apk zitakuja link uta dawnload.