Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tumia Lockdown Pro.. Unaweza lock kila application unayotaka.. Unaweza lock picha mojamoja... Pia unaweza kujua aliejaribu kuunlock sim yako sababu unaweza kuset m2 akikosea password inampiga picha bila kujua...
santeee
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
boss mi nimedownload hyo mobodro ila sioni channel yyte... natakiwa kufanya nn...?
 
wakuu natafuta game ya mpira ambayo naweza kucheza nikiwa offline(bila internet)
 
Me natumi KEEPSAFE kaz ya app hii na faida yake ni kuifadhi picha ukidowload unaikingia kwa kutumia email na password inaifadhi picha ata simu yko ikipotea na pale utaponunua simu nyngne basi picha zako utazikuta pamoja na videos na documents nyngne unazotaka kuifadhi
Naomba link yake
 
Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...
 
Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...
Tumia xposed installer. Under download search for ifont, install then activate. Halafu fanya hilo la kuchange font.
 
Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...
Hata mi kwangu ilikuwa hivyo,ila kuna mtu akanishauri ni restore baada kufanya hivyo mambo yakawa safi
 
Back
Top Bottom