Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nimeogopa kuinstal kutokana na masharti ya app hiyo kutumia taarifa binafsi.
 

Attachments

  • IMG_20161209_200855.jpg
    IMG_20161209_200855.jpg
    39.1 KB · Views: 92
Niadd na mm 0718090892

Naomba mniadd na mimi 0752097770

add 0674940200
Hebu acheni kutuvurugia utaratibu bana ni add ni add,
Acheni ulimbukeni jamani hivi wakikuadd huko kwenye group utazikuta hizo app walizojadiliana siku mbili au tatu zilizopita, wakati hapa umekuta app zilizo jadiliwa tangu hii post imeanza.
Nitakuwa mstari wa mbele kupinga hili swala kwa maslahi mapana ya hii thread ingawa mimi sio muanzilishi.
 
Wadau habari za leo? Nashukuru kwa msaada wenu. Naomba apps za kuangalia tv online kama itv

mobdro,
Mobdro — All the web’s free video streams on your Android device

live streaming, (hii andika jina la chennel kisha play)
http://store.mdcgate.com/market/app_detail?appID=22&platformID=6

kodi( hii ni ngumu kidogo kuiset)
Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)


Afrobox
Afrobox - Android Apps on Google Play

Simu tv
SIMU.tv - Android Apps on Google Play

Zalunu ina african channels
Watch Live TV & Online Radio - Android Apps on Google Play

Na kuna moja ipo humu jf ya mdau bado hajaiweka play store.
Natambulisha Live Online Tv kwenu

UPDATE:
ITV NA CAPITAL TV
ITV Tanzania - Android Apps on Google Play
 
Back
Top Bottom