JAXPAROW95
Member
- Feb 7, 2016
- 71
- 26
tumia Odin mkuu ndo rahisi zaidiSumsung note 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumia Odin mkuu ndo rahisi zaidiSumsung note 2
Hyo njia ikoje mkuu naomba mwongozo plzKama ni C9 ipo njia ya Pc. Na ku root simu hakuharibu simu bali utakachofanya baada yabku root simu.
Show love tu kwa wenzako.. zitakuja kedekede utakavyoLink ya kupata like nying fb naomba mnitumie
Angalia usije kudukuliwa bureLink ya kupata like nying fb naomba mnitumie
haya mambo tumeshajadili sana humu jukwaa hebu pitia hapo chiniNaomba mnijulishe umuhimu wa ku root simu
Inaweza ku compete na poweramp?Download app yangu nyingine inaitwa Muziki ni Muzic player. Bofya hapa to download
View attachment 522973
View attachment 522978
View attachment 522974
View attachment 522975
View attachment 522981
Inawezekana coz app inakua taratibu so nitaongeza features zaidi as muda unavyokwendaInaweza ku compete na poweramp?
Sijaona audio player nzuri kama JETAUDIO PRO nilishawahi tumia poweramp lakini bado sijaona kama ni nzuri na istoshe nilipata premium version kupitia luckypatcherInaweza ku compete na poweramp?
oya mwana ulifanikiwa hili tatzoAnayejua ku unclock Call Barring anijuze maana nimejaribu #35*0000# imekataa, na nikajaribu manually inaniletea niingize password nikijaribu 1111 na 0000 zinakataa. Msaada plz