Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Chaliii,wewe Ndio mwenye shida. Kunipigia mie ngonjera na mashairi,na uvivu wako havitakusaidia kitu.
Mamy usichoshwe na viumbe wa humu, kama jambo lilisha jafiliwa hiyo comment ipite kimya, ukiijibu ndio shida hiyo.
Hiyo mobdro nahisi ndio imejaza huu uzi lkn mtu anashindwa kupitia taratibu tena atapata maarifa mengi mno siku za hivi karibuni huu uzi kama umesimama hivi.

Hans Pol
 
Nishaachaa nae huyo. Toka page ya kwanza ni mobdro mobdro...
Na kweli umesimama hivi hii page
 
mkuu nimeiroot na nimeondoa baadhi ya pre install app lakini bado sina ROM ya kutosha
Android yangu ni jellbeans
Mkuu hizo app ulizo futa umeangalia zilikuwa na size gani maana nyingi una kuta hazizidi 5mb so kama ni za hivyo huwezi ona space imeongezeka.

Hans Pol
 
Sony Xperia T2

Sent using Jamii Forums mobile app
26dbfdc6c6429773abe6865cef33e44a.jpg

Hans Pol
 
Wakuu natoaje matangazo yanayo kuja automatic kwenye simu tangu tecno w3
N:b
Sijaroot simu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
ninyo apk ambayo nimeiondoa matangazo sema limit ya kutuma hapa sijajua ni mb ngapi ila ngoja nijaribu kutuma

sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom