SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Nenda Google tu andika mobdro.apk zitakuja link nyingi utachagua mwenyewe.Mkuu kwa msaada wako hivi unaweza nisaidia maujuzi zaidi au link nyingine hii haikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Google tu andika mobdro.apk zitakuja link nyingi utachagua mwenyewe.Mkuu kwa msaada wako hivi unaweza nisaidia maujuzi zaidi au link nyingine hii haikubali
Mkuu kama huna kifua cha kiume hiyo app haufai hata kwa bure aiseMkuu nichek pm
Kumlinda vp mkuu?Mimi natafuta App ya kumlinda mke wangu waungwana tusaidiane
Penthousehustler
Kumlinda vp mkuu?
Nova launcher inaweza ku hide apps unazotaka.Hivi wakuu ni app gani inaweza kuhide app zingine zisionekane katika screen
Thanks mkuuNova launcher inaweza ku hide apps unazotaka.
Nunua SMGIvyovyote tu mkuu, ilimradi nimlinde mke mkuu
kupakua au kustream?nahitaji app nzuri kwa kucheki movie bila zengwe
Mobizen me ndio naona iko vizuri, inapiga kazi hatari for both rooted and unrooted devices....Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.
umeshapata mridhi wake tayariMimi natafuta App ya kumlinda mke wangu waungwana tusaidiane
Ukipata jibu nitagMSAADA. Nahitaji kuroot cm yangu. Tecno w3
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nunua SMG