Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka ulipie
Google TranslateNaombeni msaada....ni apps gan unaweza tumia kutafsiri maneno
Google translate, hiyo ina tafsiri ya lugha nyingi sana hata kisukuma, kichaga N. K. Ila unahitaji ku-download package za lugha unazo tafsiri. Package ziko ndani ya hiyo app. Lakini pia unaweza kuandika au ku-copy maneno kutoka chanzo chochote na uka-paste kwenye site ya Google ukapata tafsiri yake vizuri kabisa.Naombeni msaada....ni apps gan unaweza tumia kutafsiri maneno
Mkuu jazia nyama hapaUnataka app gani ?? Zipo store nyingi sana
Kuna aptoide au happymood au ac market au apk4all au blackmart
Ni wewe tu
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Hizo Apps alizoziorodhesha ni Store za Apps zinazokua hazina usumbufu wa kulipia au kuwekwa matangazo au kuuzwa kama zitakavyopatikana PlayStore na Zaidi utaweza kupata App ambazo kwa PlayStore hazipo...Mkuu jazia nyama hapa
ulikuwa unamaanisha kwamba app ya playstore haionekani kwenye simu yako?Play store mbona sioni
shazam apkWakuu habari za mda.naonamba anayefaham app inayorecord sauti ya kitu halafu inakuletea full information ya hicho ulichokirecord.mf.kama huufaham wimbo flan unaweza rocord,ndani ya mda mfupi inakujuza wimbo wa nani na video yake kama unataka