Habari zenu wanajukwaa?
Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali..
Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana
Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa beats tukutane hapa kushare beats kali za ngoma za bongo.