Tushirikishane: Kipi hutasahau kwa mwaka huu

 
Huu mwaka sitousahau akianani.
Kuwa jobless almost mwaka mzima..!
 
au ukimkuta police anataka kumezwa Na chatu unamtafutia chatu mlenda Ili ammeze haraka. Nina marafiki polisi ila siwaaminigi kabisa
Ndiyo hivyo mkuu ningekuwa na uwezo haaa police hawa ingebaki story
 
Bosi alipotaka kunizulum kinua mgongo cha miaka mi4 wakat anahamisha kampuni anapeleka nyumbani kwake
 
Cntasahau cku ambayo nilifanikiwa kununua kiwanja kwa ajli yakuanzsha makaz
 
Huu mwaka umekuja na mambo mengi sana
Nikitengeneza movie itahit sana

Huuu mwaka nimefumaniwa live kabisaaa

Yaani sitasahau
Lile tukio, Usiombe ukafumaniwa inabadilisha maisha ya mahusiano mpaka mwisho.
 
Mengi yametokea.

But dogo (blaza) Ontario siwezi kumsahau. Nafikiri thread zake zinajieleza. Nothing to add. If Ontario unasoma hapa chukua respect yako.
 
Huu mwaka umekuja na mambo mengi sana
Nikitengeneza movie itahit sana

Huuu mwaka nimefumaniwa live kabisaaa

Yaani sitasahau
Lile tukio, Usiombe ukafumaniwa inabadilisha maisha ya mahusiano mpaka mwisho.
Hahahah, mkuu nakuheshimu sana ujue.
 
God has been so great to me...
Nilianza mwaka vizuri nashukuru unaisha vizuri

Mungu amenifanyia mambo mengi makubwa yakushangaza mpaka nikifikiria najikuta nalia kwa furaha.
Thank you Lord [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

.................... Nitarudi kushuhudia



Cc Smart911
 
Sina hata kitu cha kukumbuka mwaka huu zaidi ya ugumu wa upatikanaji wa hela.mengine yalikuwapo makubwa lakini sio mapya nishayazoea.
 
Huu mwaka umekuja na mambo mengi sana
Nikitengeneza movie itahit sana

Huuu mwaka nimefumaniwa live kabisaaa

Yaani sitasahau
Lile tukio, Usiombe ukafumaniwa inabadilisha maisha ya mahusiano mpaka mwisho.
Ha ha!
Ilikuwaje?
 
Huwa sipendi kukumbuka mambo mabaya!

Nasahau mabaya haraka sana maana nikiyakumbuka yatanitesa!
Najisahaulisha kilazima.
Am counting my blessings!
 
Sitasahau hili tukio la babu seya Na papii kocha kusamehewa
 
Mwaka huu nimepata majonzi makubwa sana. Mwezi9 nimepoteza watu wawili tofauti tarehe tu. Ameanza kufariki baba angu amefuata mtoto wa mdogo wangu. Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…