Tushirikishane: Kipi hutasahau kwa mwaka huu

Huu mwaka wa tabu sana kwangu moja kuibiwa mbili bomoabomoa imenihusu
 
Unanisingizia ujue..sijawahi kumkataa mtu mimi. Kwa nini niwe mnyimi kwa kitu nilichopewa bure?
Kwa hiyo wote wanaokuja unawakubali..! Ndiyo ushanikataa kwa namna hiyo.
 
Mungu ni wa kushukuriwa sana, my love...

Lots of love and kisses.
 
Yani Lissu acha kabisa.
Nililia sn,Asante Mungu kwa kila kitu kwake.

Ila nao walofanya kiama kipo dhidi yao
 
Sitasahau na siwezi kukaa na amani kila nikikumbuka kauli za kukatisha tamaa za Mama mkwe, niliumia sana ila Mungu ampe Maisha marefu sana Ashuhudie mafanikio yangu.
 
Daaah huu mwaka ni wa kuukumbuka maisha yangu yote kwa upande wangu.japo nimekutana na changamoto za hapa na pale ila Ni mwaka bora zaidi kuwahi kutokea tangu nizaliwe. Mungu ni mwema sana.
 
Hongera sana baba k kwa kutarajia mtoto Mungu awasaidie mtoto akuje salama halaf inaonekana mkorofi kumbe kupigana mpaka na trafick
 
Siwezi kusahau mwaka huu, maana mwaka mzima sina kazi napuyanga tuu. Demu wangu kaniacha juzi tuu kisa anataka maisha mazuri.

Siku moja nami nitatobea!!
 
Mwaka huu nimepata majonzi makubwa sana. Mwezi9 nimepoteza watu wawili tofauti tarehe tu. Ameanza kufariki baba angu amefuata mtoto wa mdogo wangu. Kazi ya Mungu haina makosa.
we have similar experience but not the same....mwezi wa september nimepoteza bibi yangu mdogo (mke mdogo wa babu yangu mzaa baba) mwezi wa october nikampoteza bibi yangu mzazi (mke mkubwa wa babu yangu) vifo vyao vimenisikitisha sana...maana huyu mkubwa (bibi mzazi) alifariki kwa presha baada ya kifo cha mke mwenzake...walipendana sana na walikuwa wakiishi kama mtu na dada yake. Allah awarehemu huko waliko na wakutane na mumeo yao mpendwa ambaye alitangulia toka mwaka 1996.

Jambo nyengine ambalo ni remarkable this year ni kupata job...na kuanza kutimiza baadhi ya malengo yangu taratibu kwa uwezo wa Mungu...nasema alhamdulillah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…