Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Napita tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitasahau ulivyonikataa mwaka mzima.Sitasahau nilivyoibiwa smatfon yangu
Nilikataa kufanyaje mkuuSitasahau ulivyonikataa mwaka mzima.
Nikumiliki mkuu.Nilikataa kufanyaje mkuu
Unanisingizia ujue..sijawahi kumkataa mtu mimi. Kwa nini niwe mnyimi kwa kitu nilichopewa bure?Nikumiliki mkuu.
Kwa hiyo wote wanaokuja unawakubali..! Ndiyo ushanikataa kwa namna hiyo.Unanisingizia ujue..sijawahi kumkataa mtu mimi. Kwa nini niwe mnyimi kwa kitu nilichopewa bure?
Kwa nini niwakatae jamaniKwa hiyo wote wanaokuja unawakubali..! Ndiyo ushanikataa kwa namna hiyo.
Daah pole mkuuHuu mwaka wa tabu sana kwangu moja kuibiwa mbili bomoabomoa imenihusu
Mungu ni wa kushukuriwa sana, my love...God has been so great to me...
Nilianza mwaka vizuri nashukuru unaisha vizuri
Mungu amenifanyia mambo mengi makubwa yakushangaza mpaka nikifikiria najikuta nalia kwa furaha.
Thank you Lord [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
.................... Nitarudi kushuhudia
Cc Smart911
Pole sanaMwaka huu sitasahau kifo cha mdogo wangu Isayah tarehe 5.07.2015
Rest in peace my young brother, you live in the hearts of those you left behind.
Let it go[emoji23] [emoji23]Ha ha!
Ilikuwaje?
Sawa basiLet it go[emoji23] [emoji23]
we have similar experience but not the same....mwezi wa september nimepoteza bibi yangu mdogo (mke mdogo wa babu yangu mzaa baba) mwezi wa october nikampoteza bibi yangu mzazi (mke mkubwa wa babu yangu) vifo vyao vimenisikitisha sana...maana huyu mkubwa (bibi mzazi) alifariki kwa presha baada ya kifo cha mke mwenzake...walipendana sana na walikuwa wakiishi kama mtu na dada yake. Allah awarehemu huko waliko na wakutane na mumeo yao mpendwa ambaye alitangulia toka mwaka 1996.Mwaka huu nimepata majonzi makubwa sana. Mwezi9 nimepoteza watu wawili tofauti tarehe tu. Ameanza kufariki baba angu amefuata mtoto wa mdogo wangu. Kazi ya Mungu haina makosa.