Tushirikishane mbinu za kuondoa michirizi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu.

Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia tafadhali, naona zinawakosesha amani na kujiamini waungwana...
 
Naomba kuuliza pia michirizi ambayo imetokea kwenye juu ya taya kidogo kushuka mpaka shingoni?
 
Back
Top Bottom