Tushirikishane mbinu za kuondoa michirizi

Tushirikishane mbinu za kuondoa michirizi

Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu.

Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia tafadhali, naona zinawakosesha amani na kujiamini waungwana...
Wakiume kabisa una michirizi kila kona ya mwili serious,ungetuambia misuli ungeeleweka
 
Kwa Ke awe nayo ktk makalio.. aiseee kama HALFCAKE iliyokwiva vzr...
images (29).jpeg
 
Kuna michirizi na michirizi iliyochanganyika na uvimbee...
 
Wengine wanapambana kutoa umaskini wengine wanapambana na michirizi 😃😃
Halafu ukute mtu anavyo vyote sasa,ni mtihani mkubwa.

Anyway,kama walivyosema wengi hiyo hali inahisiwa kutokana na kunenepeana hovyo (kwa case nyingi) so ni vizuri tuwe na utaratibu wa kufanya mazoezi,mazoezi kama ya kukimbia au kutembea yanasaidia sana kuutengeneza mwili.
 
Back
Top Bottom