Tushirikishane: Ni kitu gani cha kipuuzi huwa kinakupotezea muda?

Tushirikishane: Ni kitu gani cha kipuuzi huwa kinakupotezea muda?

mtingi1

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2020
Posts
957
Reaction score
935
Wakuu, mimi huwa napotezewa muda na kuchagua mlio wa sauti pindi ninunuapo simu mpya. Kiukweli napotezaga muda kuchagua

Wewe nini kinakupotezeaga muda?
 
umesafisha geto,umenunua msosi na vinywaji.. umechoma na CD Kali Kali,umeoga umekata nakucha ili usije mkwangua,umeandaa na zana then akija gheto anakwambia "Baby nipo kwenye siku zangu!!"
Yani hapo si muda tu wakawaida umepotea hata ule muda wa ziada nao kwisha habari .. akiwa anakuaga anaondoka unaweza hata kudondosha chozi jicho moja tu..😂
 
Umenikumbushaa. Juzi nilipoteza mda wangu stend kwa kusubiri Gari yenye siti za mbele, mwishowe Nilisimama safari nzima masaa 8 + kufika usiku....
Ulikua usiku mgumu sana kwangu ulee
Daaa nimecheka peke yangu
 
umesafisha geto,umenunua msosi na vinywaji.. umechoma na CD Kali Kali,umeoga umekata nakucha ili usije mkwangua,umeandaa na zana then akija gheto anakwambia "Baby nipo kwenye siku zangu!!"
Yani hapo si muda tu wakawaida umepotea hata ule muda wa ziada nao kwisha habari .. akiwa anakuaga anaondoka unaweza hata kudondosha chozi jicho moja tu..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kucheza game (am addicted) then na-score alama chache na-cancel kwa hasira naanza upya ili nipate alama za juu najikuta naliwa Tena !
 
Back
Top Bottom