Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

Kijumba Cha vyumba viwili icho, kwa wenye familia ndogo[emoji116][emoji4]
images-482.jpg
 
[emoji23][emoji23] huyu mpaka pakuche, vidole vya miguu vtakuwa mdomon kwa msela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari Sana .

Unaweza tamani uikimbie nyumba yako mwenyewe
 
Mie sijajua gharama hapa ila nia yangu kuona kama kuna wadau wanazo sample za vijumba kama hivi tujichagulie kwaa ajili ya kujenga.
Kaka karibu Uvimo kukuchoree na kukujengea baada ya kukupa gharama zote.


Pichani ni kazi ya Uvimo kuanzia ramani, tathimini, kujenga,kupaua, kuezeka, umeme, Bomba na plasta.

0629361896
0753927572 - WhatsApp
IMG_20211001_145657_5.jpg
 
Nimependa hivi vijumba aisee kwa sie wenye familia ndogo vinatufaa sana kuanziaga maisha..
 
Back
Top Bottom