zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mie ndo narudi nyumbani toka lindoni kwangu, leo mbu walikuwa na hasira kama tumegombana
Waambie kabisa, tumekesha pamoja. Na leo tunakesha tena...Afadhali yako kaka mimi nimekesha lindoni na ndio nakaribia kukabidhi shift..
Mie nishaingia kazin niko na 'furu eneji'...prepared kuwa kabili wateja wangu...sina blue tuesday.
Waambie kabisa, tumekesha pamoja. Na leo tunakesha tena...
Kuna foleni ama niendelee kulala?
Mie nimeamkia.mazoezi (lakini on bed). Nikasinzia kiduchu. Sasa najishauri kuachia kitanda.
Mi niko naperuzi JF then nioge chap....tatiba ya baadae ntawajulisha hasa ya lunch
me nipo njian to job... afu leo nina miguvu ka simba ati....
Umekunywa NGOKA 11