... Tushirikishe Unachofanya Siku ya Leo...

Nasinzia...........sasa nafurahi ni lumch time!!!
 
karibuni ugali wa muhogo kwa mlenda.
 
Mimi bana mpaka wa saa huu niko jobo, kwa kifupi nilitoka gym asubu, nikapata kikombe nikaingia job, wakati wa lunch nilitumia kama dakika 7 hivi na sasa ndo natoka tu kula nikarejea tena, hapa nasukumasukuma muda ikifika kwny saa tatu hivi, naenda gheto nikifika fulu kitandani. mpak kesho tena
 
Inawezekana aseee coz kudamka alfajir kwenda kumtengenezea mtu bilion 1 kwa wiki afu mie cna hata ka-vitz ka cyo loser ni nn?
Vipi we ni kati ya wale looser mjamaa moja alikuwa anasem nini?
 
Nakusikilizeni tu,endeleeni tu kubwabwaja.
 
Me nimepitiliza kituo nilipoku kwenye dalaldala,now nazunguka nalo tu
 
Inawezekana aseee coz kudamka alfajir kwenda kumtengenezea mtu bilion 1 kwa wiki afu mie cna hata ka-vitz ka cyo loser ni nn?

Teh teh teh the.........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…