David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Mpira ni mchezo wa kikatili! Lazima ukubali uwezo wa mpinzani wako. Kwa miaka 4 mfululizo Simba walikuwa wanapitia maumivu haya, leo ndio tumeelewa uchungu wao. Tumefungwa goli 2 tu lakini bado tunaumia! Sasa fikiria tulipowafunga goli 5, walikuwa wanajisikiaje?
Tushukuru hizo goli 2, maana tofauti na hapo tungepata aibu ya mwaka! Tungepigwa kipigo cha mbwa koko
Hongera mtani, leo umetulipa kwa maumivu ya miaka yote!
Imenyongwa halafu ikabondwa
Tushukuru hizo goli 2, maana tofauti na hapo tungepata aibu ya mwaka! Tungepigwa kipigo cha mbwa koko
Hongera mtani, leo umetulipa kwa maumivu ya miaka yote!
Imenyongwa halafu ikabondwa