ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kuna watu wanawakuza wa Israel kana kwamba wana uwezo watisha Sana. Jibu ni hapana. Wa Israel ni wakawaida. Hawana utofauti na jamii nyingine. Wana akili kama binadamu yeyote au kama wewe. Hawana kitu cha ziada.
Kinachowawafanya Wa Israel wa survive ni maombi ya wa kristo duniani. Ukweli ni kwamba taifa hilo linaombewa Sana kuliko taifa lolote duniani.
Nyuma ya Israel kuna wa kristo wanaomba kwa ajili Yao kutimiza unabii. Ukiondoa wa kristo duniani waombaji, Israel ni sifuri. Hana kitu. Maombi ndiyo yanafanya waonekane wana ulinzi na Baraka nyingine.
Wenyewe wa Israel hamna kitu pale watapigwa sekunde na maadui zai. Ukristo ndiyo nguzo Yao japo wao hawafahamu.
Wa kristo ndo tunasimama pamoja nao sirini vyumbani tukiwaombea kila Kona ya dunia