Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,163
- 1,523
Tarehe 9 ya mwezi wa kumi na mbili, mwaka 1961, Tanganyika ijitwalia uhuru wake toka mikono mwa mwingereza, mlezi wa makoloni yalikuwa chini ya mjerumani baada ya kushindwa vita. Watu wote waliokutwa katika ardhi ya Tanganyika, siku ile ya kuishusha "Union Jack",na kuipeperusha bendera mpya ya Tanganyika huru kisiasa (za ndani), walitambuliwa kama raia wa Tanganyika.
Wazungu, wahindi, wasomali, wahutu, watutsi, wakiga, waarabu, na kadhalika. Ikumbukwe Magufuli alizaliwa tarehe 29.Oktoba.1959, na kama alikuja mgongoni basi, tarehe 9. Desemba. 1961, ili mkuta Tanganyika. Najivunia utawala wake, wewe je? Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishaionja huiachi.
Hapa kazi tu.