Tusichoelewa kuhusu Homa ya Dengue

Tusichoelewa kuhusu Homa ya Dengue

mnoel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
211
Reaction score
98
Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.
 
week km tatu hivi zilizopita niliugua, nikaenda pima Malaria, UTI, Typhod ikznilazimu na HIV ila kitu holaaa dr akanishauru nipunguze mawazo maana hua yanasababisha(kutokana na dalili nilizomwambia na nilivyokua najiskia) maana nilipata msiba wa mtu wa karibu, baada ya siku km tatu hv ile hali ikaisha yenyewe mpk sasa, kpnd hiki ndio imepamba moto nikakumbuka zile dalili na dalili za dengue naona zinaendana kbsaaa, nahisi labda huu mzigo labda ulinipitia,

BTW, sikua dar.
 
Hivi kile kiwanda cha wamarekani ..kilichokuwa kinatengeneza mbu wa kuua mbu wa marelia ..sasa hivi kinatengeneza nini?
Kipo Dar hapo!
 
Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.
Sawa hapo umechanganya lugha sana amua kama kiingereza andika na kama umeamua kutumia kiswahiri tumia kiswahiri. Unajuwa unaweza kuwa ulikuwa na mada nzuri sana sasa ni jinsi gani unavyoiwakilisha kwenye jamii ndo tatizo na wengi wenu mnachemsha hapo na kiswangilish chenu.
 
Endelea kupishana nayo hivyo hivyo hii homa.
 
Nyie si Dona Kantri kelele za nini sasa?

Mzungu ni mzungu bana
 
HKL tunapita utafikiri hakuna kinachoendelea jukwaani.
 
Sawa hapo umechanganya lugha sana amua kama kiingereza andika na kama umeamua kutumia kiswahiri tumia kiswahiri. Unajuwa unaweza kuwa ulikuwa na mada nzuri sana sasa ni jinsi gani unavyoiwakilisha kwenye jamii ndo tatizo na wengi wenu mnachemsha hapo na kiswangilish chenu.
HKL mna jukwaa lenu. Uende kujifunza lugha . Hapa tunataka majibu ya dengue tu.
 
week km tatu hivi zilizopita niliugua, nikaenda pima Malaria, UTI, Typhod ikznilazimu na HIV ila kitu holaaa dr akanishauru nipunguze mawazo maana hua yanasababisha(kutokana na dalili nilizomwambia na nilivyokua najiskia) maana nilipata msiba wa mtu wa karibu, baada ya siku km tatu hv ile hali ikaisha yenyewe mpk sasa, kpnd hiki ndio imepamba moto nikakumbuka zile dalili na dalili za dengue naona zinaendana kbsaaa, nahisi labda huu mzigo labda ulinipitia,

BTW, sikua dar.
ni kweli mkuu mwili wa binadamu upo so complicated; una process zake za kujiweka sawa!! kwa mfano wakati huo ukifika hauyakuwa sawa sawa na ukienda hoso kupima waweza kukuta BP ipo juu kiasi sasa wewe kwa uwoga wako unaanza kubwiya midawa.

Tena ukienda hizi hosp za kisasa utafungashiwa midawa hadi ukome.
 
Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.
Mbona hujauliza kuhusu kipindupindu, zika, Homa ya Rift Valley, Ebola, mafua ya ndege?. Yote hayo yana tabia hiyo ya kuzuka na kupotea. Ukitoa kipindupindu hapo hayo mengine yanaenezwa na virusi. kwa hiyo sio kama hao mbu wa dengu wanapotea ila ni kuwa wanakua hawana hao virusi.

Na inawezekana dengu ikawepo lakini isitangazwe kama epidemic kwa sababu cases zake zinaweza kuwa chache. Sasa kukiwa na cases nyingi kuzidi kawaida ndio ugonjwa unatangazwa kama epidemic na hatua zinachukuliwa kama ulivoona upande wa dengu.
 
Back
Top Bottom