mnoel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 211
- 98
Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.