Sawa hapo umechanganya lugha sana amua kama kiingereza andika na kama umeamua kutumia kiswahiri tumia kiswahiri. Unajuwa unaweza kuwa ulikuwa na mada nzuri sana sasa ni jinsi gani unavyoiwakilisha kwenye jamii ndo tatizo na wengi wenu mnachemsha hapo na kiswangilish chenu.Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.
HKL mna jukwaa lenu. Uende kujifunza lugha . Hapa tunataka majibu ya dengue tu.Sawa hapo umechanganya lugha sana amua kama kiingereza andika na kama umeamua kutumia kiswahiri tumia kiswahiri. Unajuwa unaweza kuwa ulikuwa na mada nzuri sana sasa ni jinsi gani unavyoiwakilisha kwenye jamii ndo tatizo na wengi wenu mnachemsha hapo na kiswangilish chenu.
ni kweli mkuu mwili wa binadamu upo so complicated; una process zake za kujiweka sawa!! kwa mfano wakati huo ukifika hauyakuwa sawa sawa na ukienda hoso kupima waweza kukuta BP ipo juu kiasi sasa wewe kwa uwoga wako unaanza kubwiya midawa.week km tatu hivi zilizopita niliugua, nikaenda pima Malaria, UTI, Typhod ikznilazimu na HIV ila kitu holaaa dr akanishauru nipunguze mawazo maana hua yanasababisha(kutokana na dalili nilizomwambia na nilivyokua najiskia) maana nilipata msiba wa mtu wa karibu, baada ya siku km tatu hv ile hali ikaisha yenyewe mpk sasa, kpnd hiki ndio imepamba moto nikakumbuka zile dalili na dalili za dengue naona zinaendana kbsaaa, nahisi labda huu mzigo labda ulinipitia,
BTW, sikua dar.
Mbona hujauliza kuhusu kipindupindu, zika, Homa ya Rift Valley, Ebola, mafua ya ndege?. Yote hayo yana tabia hiyo ya kuzuka na kupotea. Ukitoa kipindupindu hapo hayo mengine yanaenezwa na virusi. kwa hiyo sio kama hao mbu wa dengu wanapotea ila ni kuwa wanakua hawana hao virusi.Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to 3Years bila kusikia dengue, that means Huyo mbu ha exist kwa kipindi hiko. Swali ni Je, huwa anatokea wap? Hapa ndo naanza kuamini kuna magonjwa huwa tunaletewa purposely. Otherwise mtu atoe clear reasons.