Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
kuifikia yanga ni kazi ngumu. jaribu kuanalia mechi ngapi zimebaki kwa timu zote ukiacha hiyo ya wahusika .angalia away games za samba na yanga ila yanga ina mbinu ya kubutua ugenini na kupaki basi huku wakiwavuta maadui eneo lao ili wakijisahau watu wanapiga bao ulinzi unaendelea,
