Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184

Rihanna, 'whooping up her love for whips and chains.' Photograph: Rex Features
Mara nyingi tunaamini ya kuwa wanaumme hutaka kuzamisha sana mkuki na huku akina dada hupendezewa na kushikwashikwa ili wapandishwe ashiki...............lakini imani hizi zimetiwa dosari na utafiti kwa wapenzi ambao wamekuwa wakiishi pamoja kwa muda mrefu....................................
Utafiti huu umebaini yafuatayo:-
a) Kwa mwanaumme ndoa bila sex huhesabu kuwa ni mfu..........................................
b) Wanawake kadri wakuavyo/ kuzeeka ndivyo ni rahisi kufikishwa watakako kwa sababu hawana mashinikizo ya kulea watoto, kufikiria matatizo ya uzazi.........au hata ya kiuchumi .....................na hivyo ni rahisi kuridhika kwenye sex..................kuliko walivykuwa bado wangali kinda.......................
c) Kiujmla sex huwaridhisha na kunoga pale ambapo wahusika wamekuwa pamoja kwa muda mrefu hususani kama wako kwenye middle age................................where sex really get better with time as the more the couple are living together....................
kama waswahili wasemavyo.....................................old is really gold...........................................
Kwa hiyo makinda wanapoona mambo hayaendi watakavyo wajue ya kuwa mashinikizo ya kimaisha kama vile khali mbaya ya kipato, hofu ya mimba zisizokusudiwa, khofu ya magonjwa hatarishi........................................na pale watoto tayari wapo...........hata upatikanaji wa skuli fees................vyaweza kuchangia kulifanya tendo lote la sex kuwa na mushkeli kwa sababu mawazo ni vigumu kuwepo pale kama kuna kero ambazo ufumbuzi wake haujulikani................................................