Tusidanganyane, Barcelona haina mashabiki halisi Afrika

pnc1 kumbe wewe ni kapi?
bwah ha hah hah haaaah
dah kelele zote zile kumbe muhamiaji haramu?
 
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika.

Kwahiyo kama FCB haina hao unaowaita die hard fans, na wewe ni Arsenal die hard fan kinakuuma nini? Au wao kukosa die hard fans wakati we ni die hard fan wa Arsenal (na labda unaamini mko wengi Africa) kinakupungukia nini mpaka ukereketwe? Psychologically kuna kitu unaumia kuhusu ubora wa FCB ndo maana umeandika haya. Maana vinginevyo kama wewe una timu yako unashabikia and you call yourself a die hard fan of it, then what is the issue with FCB? Why cant you leave it alone uendelee na Arsenal yako?
 
Alivyokuwa mnafki eti haishabikii tena Arsenal mpaka Wenger aondoke, si avumilie tu kama yeye kweli die hard fan wa Arsenal!!
 
fc barcelona kutokua na hao unaowaita die hard fans inaipungizia nn ubora wao uwanjani na mafanikio inayoyapata, hizo timu za EPL zenye mashabiki die hard zinaongezekewa nn uwanjani ambacho barcelona anakimiss
 
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika. Wengi ni VIHEREHERE TU, wasio jitambua na waliokuwa HEART BROKEN kwa timu zao za EPL kufanya vibaya.
PNC anajua hili, yaani ni MAKAPI ya CHELSICK FC, MANUTD, na ARSENAL fc tena vishabiki vyenyewe ni vile vyenye roho nyepesi kama unyoya.
Nawaheshimu sana FANS wa Liver, wako loyal.

MIMI NI ARSENAL FAN and will ALWAYS BE, ila nami sitakuwa jukwaa la ARSENAL mpaka WENGER AONDOKE!
mkuu tutake radhi BARCELONA sie ni zaid ya CHELS10 MAN 6 ARSE8 NA LIVERFOOL na wala hatuyumbishwi
45b88f676e3ff28ea762d3738f515c53.jpg
huyo ni shabik mmojawapo wa BARCELONA tena NI MUAFRICA
 
pnc1 kumbe wewe ni kapi?
bwah ha hah hah haaaah
dah kelele zote zile kumbe muhamiaji haramu?
Mimi ni mwanachama 100% wa BARCELONA cjawahi kuwa na TIMU EPL wala ctoshabikia timu nyingine tofaut na BARCELONA na wala mimi sio kama mashabik wa CHELSEA walioanza ijua timu yao 2005 mimi nilikuwepo kipind cha SAVIOLA KLUIVERT RIQUELME ANDERSON hata kabla ya DE LIMA hayo ni kwa kiufup tu
 
wewe sio mzima, mwanachama??

Tuwekee scanned membership card & receipt!
 
Mkuu unaonekana leo unataka nikupe darasa ndio mana unafuatilia fact zangu[emoji1] [emoji1] profesaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
hahahahahaha hahaha
Fact zipo wapi hapo sasa???
 
Pole mtoa post, najua ni maumivu ya kugongwa nje ndani.

Kwnn Barca isiwe Madrid
 
watu wameanza kufatilia barca kipindi cha kina romario, george hagi na yule mbuligalia akaja ronaldo mpaka enzi za kina rivaldo halafu unatupa habari ya epl
 
Back
Top Bottom