Tusidanganyane hakuna nafasi ya Simba kushinda

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu

Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!

Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu

Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji

Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?

Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
 
Na wewe unajiita mchambuzi?
 
Ahmed Ally mwenyewe si kasema timu pekee duniani haina wasiwasi na yenye uhakika wa kushinda ikicheza na Simba ni Yanga...inawauma lkn ndo Mungu kashapanga ivyo hawana cha kufanya
 
Maneno mengi ya nini???tar 16 si kesho kutwa tuu?Mbivu na mbichi zitajulikana tu.
 
Simba anafunga klabu yoyote hapa barani Afrika kuanzia no.1 sembuse huyu ambae hata top 20 hayumo.Kama Una uhakika bet milion 10 utajirike.
Uhakika ndio nini, sisi tunachojua hatuwez kufunngwa na simba labda tufungwe jela
 
Kikundi cha wahuni kipo Champions league
 
Yanga tufocus mechi na Rivers United ndio mechi ngumu na muhimu zaidi, kwa Simba hakuna jipya.

Na hata Simba kama wanajitambuwa wawe makini sana, kuna mechi ngumu inakuja mbele yao, wakikamia mechi na Yanga Wydad watakuja kuwaaibisha hapo kwa Mkapa.

Ni wachache wataelewa nilichokiandika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…