Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Mechi ile iliyopia kake kafupi okrah kalikamia mpaka msuli ulikazaYanga tufocus mechi na Rivers United ndio mechi ngumu na muhimu zaidi, kwa Simba hakuna jipya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ile iliyopia kake kafupi okrah kalikamia mpaka msuli ulikazaYanga tufocus mechi na Rivers United ndio mechi ngumu na muhimu zaidi, kwa Simba hakuna jipya...
Kwa hiyo uto ilipobamizwa 5-0, 4-1 ilikuwa ni jela?Uhakika ndio nini, sisi tunachojua hatuwez kufunngwa na simba labda tufungwe jela
Mwaka gani? Miaka saba ilopitaKwa hiyo uto ilipobamizwa 5-0, 4-1 ilikuwa ni jela?
Kipigo cha 4-1 ni miaka 7 sio? We jifariji tu hata ukisema ni miaka 15.Mwaka gani? Miaka saba ilopita
Hizo ni zile zama za kina Mzee Akilimali kukomowana.Kwa hiyo uto ilipobamizwa 5-0, 4-1 ilikuwa ni jela?
Kwani ukibaki msoma comment na mchangia comment za wengine kama mimi utapungukiwa nini?Wakuu
Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu
Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!
Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu
Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?
Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
Hakuna cha kukomoana wala nini mpira ni mchezo wa wazi hakuna timu inayojifungisha.Hizo ni zile zama za kina Mzee Akilimali kukomowana.
At least mechi Yanga iliyofungwa 4 kwa 1 Simba walikuwa na kikosi vizuri walistahili ushindi, hilo hiyo mechi nyingine ni fitina tu.
Hata wanaotaka Mangungu ang'ole wakiamuwa utashangaa utakachokiona jumapili, hilo ndilo tatizo la timu za kariakoo.
Tena hii mechi ya weekend ikibidi wangeitumia kufanya majaribia ya mbinu kadhaa kwa ajili ya mechi ya Robo Fainali. Waachane kabisa na huu upuuzi wa kuikamia hii mechi.Yanga tufocus mechi na Rivers United ndio mechi ngumu na muhimu zaidi, kwa Simba hakuna jipya.
Na hata Simba kama wanajitambuwa wawe makini sana, kuna mechi ngumu inakuja mbele yao, wakikamia mechi na Yanga Wydad watakuja kuwaaibisha hapo kwa Mkapa.
Ni wachache wataelewa nilichokiandika hapo.
Ramli chonganishiWakuu
Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu
Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!
Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu
Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?
Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
tuache mpira uamueWakuu

Upewe shahada ya uzamivuWakuu

Dipu State.Ramli chonganishi
Mechi izi za Simba na Yanga siku izi Zina amuliwa na STATE....
Mechi itaisha Kwa SARE
Hawa ni mashabiki tu unadhani Prof Nabi, uongozi na wachezaji wamelala?Yanga msiichukulie hii mechi kirahisirahisi tu kama mnavyofikiria nyie mkaingia na matokeo yenu mfukoni .
Mechi ni ngumu kwa pande zote mbili huo ndiyo ukweli na wachezaji wote wanalijua hilo. Tuache mihemko
Wewe hakuna unachokijuwa kwenye timu za Kariakoo.Hakuna cha kukomoana wala nini mpira ni mchezo wa wazi hakuna timu inayojifungisha.
Kumbe profesa anajua kiswahili[emoji23][emoji23]Hawa ni mashabiki tu unadhani Prof Nabi, uongozi na wachezaji wamelala?
Halafu anakaripia kabisa!!Kumbe profesa anajua kiswahili[emoji23][emoji23]