Tusidanganyane hakuna nafasi ya Simba kushinda

Tusidanganyane hakuna nafasi ya Simba kushinda

Kwa hiyo uto ilipobamizwa 5-0, 4-1 ilikuwa ni jela?
Hizo ni zile zama za kina Mzee Akilimali kukomowana.

At least mechi Yanga iliyofungwa 4 kwa 1 Simba walikuwa na kikosi kizuri walistahili ushindi, ila hiyo mechi nyingine ni fitina tu.

Hata wanaotaka Mangungu ang'olewe wakiamuwa utashangaa utakachokiona jumapili, hilo ndilo tatizo la timu za kariakoo.
 
Wakuu

Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu

Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!

Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu

Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji

Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?

Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
Kwani ukibaki msoma comment na mchangia comment za wengine kama mimi utapungukiwa nini?
 
Hizo ni zile zama za kina Mzee Akilimali kukomowana.

At least mechi Yanga iliyofungwa 4 kwa 1 Simba walikuwa na kikosi vizuri walistahili ushindi, hilo hiyo mechi nyingine ni fitina tu.

Hata wanaotaka Mangungu ang'ole wakiamuwa utashangaa utakachokiona jumapili, hilo ndilo tatizo la timu za kariakoo.
Hakuna cha kukomoana wala nini mpira ni mchezo wa wazi hakuna timu inayojifungisha.
 
Yanga tufocus mechi na Rivers United ndio mechi ngumu na muhimu zaidi, kwa Simba hakuna jipya.

Na hata Simba kama wanajitambuwa wawe makini sana, kuna mechi ngumu inakuja mbele yao, wakikamia mechi na Yanga Wydad watakuja kuwaaibisha hapo kwa Mkapa.

Ni wachache wataelewa nilichokiandika hapo.
Tena hii mechi ya weekend ikibidi wangeitumia kufanya majaribia ya mbinu kadhaa kwa ajili ya mechi ya Robo Fainali. Waachane kabisa na huu upuuzi wa kuikamia hii mechi.
Kwa kiwango fulani Simba ni kama wamefanikiwa kupunguza pressure zaashabiki wao juu ya mechi na matokeo ya mechi hizi za Watani wa Jadi, ni kati ya achievement kybwa ya MO na Babra wake.
 
Wakuu

Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu

Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!

Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu

Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji

Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?

Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
Ramli chonganishi

Mechi izi za Simba na Yanga siku izi Zina amuliwa na STATE....

Mechi itaisha Kwa SARE
 
Tukiweka ushabiki pembeni; tukubaliane tu mechi za Kariakoo Derby huwa hazitabiriki. Kuna nyakati simba ilikuwa bora kuliko Yanga! Ila mwisho wa siku waliishia tu kupata sare.

Hivyo hata Yanga wanatakiwa waingie kwa ajili ya kushinda. Na wasiingie na matokeo mfukoni.
 
Kwan Mechi ya kwanza ilikuwaje au sio yanga hii??

Mechi iliisha kwa sale Tena yanga akitokea nyuma
 
Wakuu

Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu

Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!

Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu

Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji

Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?

Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
tuache mpira uamue
 
Upewe shahada ya uzamivu
 
Ramli chonganishi

Mechi izi za Simba na Yanga siku izi Zina amuliwa na STATE....

Mechi itaisha Kwa SARE
Dipu State.
Kuna rais mmoja sukumbuki ni wa awamu gani, alikua akivaa jezi za timu zote mbili, yaanu nusu timu hoi na nusu timu ile
 
Huwa nashangaa sana mtu kuanza kutamba kushinda mechi dhidi ya timu nyingine wakati yeye hana namna yoyote ya kuamua matokeo.

Wewe siyo mchezaji unapataje uhalali wa kutamba vile? Kuweni na akiba ya maneno.
 
Yanga msiichukulie hii mechi kirahisirahisi tu kama mnavyofikiria nyie mkaingia na matokeo yenu mfukoni .

Mechi ni ngumu kwa pande zote mbili huo ndiyo ukweli na wachezaji wote wanalijua hilo. Tuache mihemko
Hawa ni mashabiki tu unadhani Prof Nabi, uongozi na wachezaji wamelala?
 
Hakuna cha kukomoana wala nini mpira ni mchezo wa wazi hakuna timu inayojifungisha.
Wewe hakuna unachokijuwa kwenye timu za Kariakoo.

Yanga wavurugaji lilikuwa na Mzee Akilimali na Yusuph Mzima, wakati Simba kuna Mzee Kilomoni na kundi lake na kuna mwanachama wanawaunga mkono.

Rais wa Yanga Eng Hersi yupo madarakani na nathubutu kusema wana Yanga wote hawana kinyongo naye.

Lakini Mwenyekiti wa Simba Mangungu ameshinda uchaguzi kwa kuleta uhuni wake aliotoka nao Ccm wa kupachiga masanduku ya kura fake.

Mwanachama wa Simba wengine wana hasira na Mangungu, sasa uamuzi ni wao, waibebe timu yao kwanza au mechi hii ndio itumike kumwadhibu? Maana Mangungu licha ya kushinda kwa bila za kiccm lakini aliahidi akishinda basi ataifunga Yanga, sasa hapa ndio kwenye mtego wa panya.
 
Back
Top Bottom