Uchaguzi 2020 Tusidanganyane: Kwa mtindo huu sioni hata Mkurugenzi mmoja atayeweza kutangaza ushindi kwa upinzani abadani

Kuna mambo hayahitaji akili kubwa sana kuyaelewa namna yanavyoenda/endeshwa.

Hii kauli mmeisahau? "Nikuteuwe mimi kuwa Mkurugenzi, nikupe gari, nikupe nyumba, nikupe mshahara na posho halafu umtangaze mpinzani mshindi!!". Maneno hayo ni mazito sana na yanatanabaisha namna mambo yanavyoanza kuwaendea kombo wapinzani hata kabla ya kuanzwa kwa kampeni.

NEC sio wenzetu, Polisi vivyo hivyo! Mahakama nazo zimekosa weledi wa namna ya kuzisimamia sheria. Upinzani usitegemee muujiza kwani hakuna Mkurugenzi ambaye atakubali kupoteza 'ugali' wake kwa kumtangaza mpinzani kuwa mshindi.

Kwa hali ilivyo sasa, "Wananchi tutachagua, NEC watateuwa".
kweli mkuu but sio mda nawaurumia sana hawa wakurugenzi wanajiingiza kwenye mtego ambao ipo siku watajuta , chadema sio wajinga narudia kuna mtu anatafutwa na bado kidogo shida watu wanachukulia mambo poa sana kauli za leo za mgombea wao urais zinafikirisha sna
 
Tatizo la Chadema ni SACOS ya Mbowe na familia yake, lini wanaweza kutengeneza mbinu za kuongoza wakati wamekaa kushibisha matumbo yao? Hizi kampeni ndio zinawavua nguo sasa.
Acha 'ujuha'!
 
Nikupe gari na ulinzi na nikulipe uje unitangazie mpinzani?
Kauli hii ilinyamaziwa... ikapuuzwa... ikadharauliwa na haikuonekana athari yake!!! Sasa ndio gharama zake zinalipwa...
Upinzani waliposhindwa kuchukua hatua Uchaguzi SM ndilo hili shimo walilojiandalia.
Tatizo ni huku mtaani kuna chuki zinaanza kutoa maua nadhani huenda tukaanza kuona kama sio kuvuna matunda yake!!
 
Kwa tume hii ya uchaguzi, uchaguzi mkuu umeshaisha wanangojea kutangaza washindi tu.
 
Hii kauli ilithibitisha kuwa CCM imefanikiwa kufikia kiwango cha juu cha ujeuri kiasi cha kutohitaji tena ridhaa ya wananchi kubaki madarakani. Na inawezekana Watanzania wengi kufikiri kuwa hili ni tatizo la “wapinzani” - wao hawahusiki. Na hapa ndipo lilipo janga la taifa letu “national tragedy”. watu kufikiri kinachoendelea kwenye siasa ni matatizo ya Magufuli vs Lissu & Kabwe, Gwajima vs Mdee, Tulia vs Sugu, n.k.

Watanzania wangefahamu kuwa nchi kama Equatorial Guinea, Central African Republic na Congo DR zilipitia hatua hizi hizi kufikia majanga ya kitaifa yanayozitesa hadi leo, wasingepuuza (ignore) na kujivua wajibu wa kusimamia viongozi wa kisiasa kiasi cha kuwapa jeuri ya aina hii. Labda siku maumivu yakikolea kwa wengi, ndipo unafiki utawekwa pembeni.
Ndio maana nimeshauri wafanye haya hapa chini vinginevyo hawatoboi:
Ndugu ndugu wapinzani,
Mumeona jinsi munavyo enguliwa na hao NEC bila sababu za msingi.
Mumeona jinsi haki yenu ya uchauguzi isivyopatikana kwa watu wetu kuengulia kwa sababu ya msingi (Breaches of Fundamental rights)
Mumeona jinsi mapingamizi yenu yanatupwa bila sababu za msisngi...
Hivi kweli mnavyoona mtapa haki sawa huko mbeleni? Thubutu

Kwa nini msiwafunguliwe kesi ya ubaguzi hao NEC na muiombe mahakama iistopishe NEC kuendesha au kusimamia zoezi zima la uchaguzi huu?

Kuendelea nayo hii NEC ya sasa maana yake ni kwamba :
1. Mumekubaliana na figisu zote za NEC za sasa
2. Mumekubali kwamba wakisha tangaza matokeo (Uraisi) hamtaweza kuyapinga au kuyahoji mahala popote Tanzania maana ni kinyume na sheria
3. Mumekubali kwamba uchaguzi utakuwa free na fair ingawaje yale yale yaliyotokea serikali za mitaa yanajirudia.
4. Mkiishitaki NEC kwa certificate of urgent (breaches of fundamental rights ) kwa kuwapendelea CCM au kwa kutofuata sheria za uchaguzi na kanuni zake kinachoweza kufanyika ni kati ya haya yafuatayo:

1. Mahakama kuwarudisha wagombea wote walionguliwa kwa sababu za magumashi
2. Mahakakam kuisimamisha NEC kuendela na zoezi zima la uchaguzi mpaka hapa watakopo kuwa wameonyesha kwamba wao sio biased
3. Mahakama kuagiza tume huru itayounda na watu huru...

Hii ndio njia pekee iliyobakia kwa sasa hadi 28 October.
Tarehe nyingine ya uchaguzi inaweza kupangwa (kama itakavuo amuliwa na mahakama) ili kurekebisha dosari zote za uchaguzi kurekebishwa...
Hamuwezi kuendelea na ushaguzi huu ili hali ubaguzi wa haki zenu za msingio ziko wazi... referee wenu- NEC- hana uwe3zo tena wa kusimamia zoezi zima la uchaguzi utao kuwa free an fair maana tayari amekwisha onesha uwezo wake - hana uwezo huo kwa kuusimamia

Ni ushauri tu na maoni yangu binafsi... si lazima mmchukue... msipotaka hivyo, hakuna njia ya kuyahoji matokeo wala ukiukwaj wa taratibu maana mtakuwa mmekubaliana na yote NEC iliyowafanyia...
 
Mkuu hiyo resistance imeshashindwa kabla ya kuanza. Wabunge zaidi ya 50 wa CDM wameenguliwa kwa sababu ambazo ni za kijinga sana, na raia wako kimyaaa kama vile hakuna kilichotokea. Tunaaza kampeni wabunge wote hao wameenguliwa, maana yake tumekubali matokeo. Na kwenye uchaguzi watafanya hivyo hivyo na maisha yataendelea. Watz bado sana, maji bado hayajafika shingoni. Siku yakifika ambayo haijulikani ni lini...!!!
Mbona orodha ya waliopita bila kupingwa ni 18 tu hiyo 50 imetokea wapi?
Anyway maandamano mema
 
Ndugu ndugu wapinzani,
Mumeona jinsi munavyo enguliwa na hao NEC bila sababu za msingi.
Mumeona jinsi haki yenu ya uchauguzi isivyopatikana kwa watu wetu kuengulia kwa sababu ya msingi (Breaches of Fundamental rights)
Mumeona jinsi mapingamizi yenu yanatupwa bila sababu za msisngi.
Hivi kweli mnavyoona mtapa haki sawa huko mbeleni? Thubutu

Kwa nini msiwafunguliwe kesi ya ubaguzi hao NEC na muiombe mahakama iistopishe NEC kuendesha au kusimamia zoezi zima la uchaguzi huu?

Kuendelea nayo hii NEC ya sasa maana yake ni kwamba :
1. Mumekubaliana na figisu zote za NEC za sasa
2. Mumekubali kwamba wakisha tangaza matokeo (Uraisi) hamtaweza kuyapinga au kuyahoji mahala popote Tanzania maana ni kinyume na sheria
3. Mumekubali kwamba uchaguzi utakuwa free na fair ingawaje yale yale yaliyotokea serikali za mitaa yanajirudia.
4. Mkiishitaki NEC kwa certificate of urgent (breaches of fundamental rights ) kwa kuwapendelea CCM au kwa kutofuata sheria za uchaguzi na kanuni zake kinachoweza kufanyika ni kati ya haya yafuatayo:

1. Mahakama kuwarudisha wagombea wote walionguliwa kwa sababu za magumashi
2. Mahakakam kuisimamisha NEC kuendela na zoezi zima la uchaguzi mpaka hapa watakopo kuwa wameonyesha kwamba wao sio biased
3. Mahakama kuagiza tume huru itayounda na watu huru.

Hii ndio njia pekee iliyobakia kwa sasa hadi 28 October.
Tarehe nyingine ya uchaguzi inaweza kupangwa (kama itakavuo amuliwa na mahakama) ili kurekebisha dosari zote za uchaguzi kurekebishwa.
Hamuwezi kuendelea na ushaguzi huu ili hali ubaguzi wa haki zenu za msingio ziko wazi referee wenu- NEC- hana uwe3zo tena wa kusimamia zoezi zima la uchaguzi utao kuwa free an fair maana tayari amekwisha onesha uwezo wake - hana uwezo huo kwa kuusimamia

Ni ushauri tu na maoni yangu binafsi si lazima mmchukue... msipotaka hivyo, hakuna njia ya kuyahoji matokeo wala ukiukwaj wa taratibu maana mtakuwa mmekubaliana na yote NEC iliyowafanyia.
Ushauri wako watumie kwenye anuani zao wataupata mapema humu inamaliza chaji tu
 
Mkuu hiyo resistance imeshashindwa kabla ya kuanza. Wabunge zaidi ya 50 wa CDM wameenguliwa kwa sababu ambazo ni za kijinga sana, na raia wako kimyaaa kama vile hakuna kilichotokea. Tunaaza kampeni wabunge wote hao wameenguliwa, maana yake tumekubali matokeo. Na kwenye uchaguzi watafanya hivyo hivyo na maisha yataendelea. Watz bado sana, maji bado hayajafika shingoni. Siku yakifika ambayo haijulikani ni lini...!!!
Huwezi ingiza watu barabarani ilihali wameridhika.
 
Kuna mambo hayahitaji akili kubwa sana kuyaelewa namna yanavyoenda/endeshwa.

Hii kauli mmeisahau? "Nikuteuwe mimi kuwa Mkurugenzi, nikupe gari, nikupe nyumba, nikupe mshahara na posho halafu umtangaze mpinzani mshindi!!". Maneno hayo ni mazito sana na yanatanabaisha namna mambo yanavyoanza kuwaendea kombo wapinzani hata kabla ya kuanzwa kwa kampeni.

NEC sio wenzetu, Polisi vivyo hivyo! Mahakama nazo zimekosa weledi wa namna ya kuzisimamia sheria. Upinzani usitegemee muujiza kwani hakuna Mkurugenzi ambaye atakubali kupoteza 'ugali' wake kwa kumtangaza mpinzani kuwa mshindi.

Kwa hali ilivyo sasa, "Wananchi tutachagua, NEC watateuwa".
Chama chako kina wanachama wangapi?
 
You are grown up my son
 
Ha ha ha ha ha Hali halisi sisi wananchi tunaiona, Hamkuwa na nafasi ya kushinda kabla uchaguzi umeitishwa. Upinzni na maneno yao utopolo.

Tusubiri labda 2025.
 
Kauli hii ilinyamaziwa... ikapuuzwa... ikadharauliwa na haikuonekana athari yake!!! Sasa ndio gharama zake zinalipwa...
Upinzani waliposhindwa kuchukua hatua Uchaguzi SM ndilo hili shimo walilojiandalia.
Tatizo ni huku mtaani kuna chuki zinaanza kutoa maua nadhani huenda tukaanza kuona kama sio kuvuna matunda yake!!
Siku mkurugenzi atarudi akute familia na nyumba vishateketezwa ndio watajua kuwa wanaponzwa na mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom