Uchaguzi 2020 Tusidanganyane: Kwa mtindo huu sioni hata Mkurugenzi mmoja atayeweza kutangaza ushindi kwa upinzani abadani

Huu mwaka si ndio watauliwa, ngoja wafanye usenge.
 
Huyo anayetamka hivyo nchi sio yake ni mwajiriwa wetu , wananchi ndio wenye mamlaka yote nguvu ya umma itumike
 
Huwezi ingiza watu barabarani ilihali wameridhika.
Hanna aliyeridhika nachokiona hajapatikana kiongozi wa upinzani kulianzisha.ugumu huwa ni kuanza ukipata sapoti ya miji 2/3 yanasambaa nchi nzima.

Ngoja tusubiri hayo maandamano yatazaa nini.
 
Mbona orodha ya waliopita bila kupingwa ni 18 tu hiyo 50 imetokea wapi?
Anyway maandamano mema
Siyo CDM na CCM peke yao wako kwenye uchaguzi. Vipo vyama vingine pia ambavyo wagombea wao hawajaenguliwa, hao zaidi ya 50 ni CDM tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…