Kwanza niwahase "tutafute hela" tuache kuuchochea umaskini, maake pasipo pesa, story za kahawa ndipo zinapoanzia! NoFap ni mchezo kama ilivyo michezo mingine kama Riadha, Mpira wa miguu ama mieleka! Sasa acha kusema "Ninafanya hivi ili kutokomeza tabia ya kupiga punyeto" Unafeli pakubwa!
Mwandishi wa makala ya kujizuia kupiga punyeto, makala yake mwenyewe ilimshinda kujizuia! Ni sawa na mwanzilishi wa pesa alivyokufa kwa madeni!
Alichekesha umma kwa kusema 1. Acha tabia ya kujitenga na kukaa peke yako 2. Epuka kutazama picha na video za ngono 3. Jaribu kuwa na mpenzi kisha muelezee tabia yako 4. Shiriki katika michezo na mazoezi 5. Usikawie kutoka bafuni 6. Pakaa mikono yako pilipili nyakati za kulala
[emoji3516][emoji3516][emoji3516] RUBBISH, Ujng mtupu!
Najua wanaume wote hatutamani huu mchezo, na wengi mmejaribu huo ujng! Kama kuna aliyefanikiwa kwa hizo hatua hapo juu aniiite "mbw" niko pale Radio X natangaza kipindi!
Nawahasa "Tafuteni hela! Narudia "Tafuteni hela" Punyeto ina tiba!
Yote tisa, wamasai wa Ngorongoro na Arusha huwaoni? Au unakutana na hawa wa Dar na Mwanza! Sawa, myegeya huufahamu? Chukua unga wake kutoka kwenye tunda lake lililokauka, kupondwa pondwa kisha kusagwa! Changanya na maji ya uvuguvugu, kunywa, kisha leta mrejesho hapa [emoji34][emoji34][emoji34]
Halafu uje unambie ulivyokaa ndani peke yako ulipiga punyeto?
Acha kuhesabu siku
Pia soma: