Tusidanganyane: Samatta ana miaka zaidi ya 35; mtazame yeye kisha mtazame Drogba

Hata wachezaji legends wa kiafrika weng walidanganya umri wao so ,samatta sio wa kwanza
 
Ukitaka kujua umri wa samata angalia aliingia simba mwaka gani na hadi sasa ameshatumia miaka mingapi nje ya Tanzania but Kama sikosei huu ni mwaka WA kumi sasa toka aondoke simba so let say simba alicheza akiwa na miaka 20 plus miaka 10 ya kuwa nje ya Tanzania atakuwa na miaka 30 plus
 
Binadamu wote ni sawa maandiko yamesema mwenye juhudi na afanikiwe

OK nimeona tatizo lilipo, kama kwako hakuna tofauti kati ya kufanikiwa kwa foreigner na mwenyeji basi bado tuna safari ndefu sana, labda nikuulize kati ya Drogba na Baba yako ungependa yupi afanikiwe kama binadamu wote ni sawa kama ulivyosema?
 
Hiyo umejaribu ku guess lakini sio uhalisia jamaa anazaidi ya 35
 
OK nimeona tatizo lilipo, kama kwako hakuna tofauti kati ya kufanikiwa kwa foreigner na mwenyeji basi bado tuna safari ndefu sana, labda nikuulize kati ya Drogba na Baba yako ungependa yupi afanikiwe kama binadamu wote ni sawa kama ulivyosema?
Baba yangu afanikiwe mara ngapi sasa? Ameshafanikiwa kiasi cha juhudi zake
 
Baba yangu afanikiwe mara ngapi sasa? Ameshafanikiwa kiasi cha juhudi zake

Haujajibu bado, kati ya Baba yako na Drogba ungependelea yupi afanikiwe zaidi? Hakuna mwisho wa mafanikio, vinginevyo akina Bill Gates wasingefanya kazi hadi leo hii.
 
Haujajibu bado, kati ya Baba yako na Drogba ungependelea yupi afanikiwe zaidi? Hakuna mwisho wa mafanikio, vinginevyo akina Bill Gates wasingefanya kazi hadi leo hii.
Afanikiwe mara ngapi na wewe nyie watoto wa 2000 shule mnajifunza english tu?
Tuanze na hapa baba yangu unamjua ni nani?
 
Hivi unafahamu kwamba rais Magufuli ni mdogo kiumri kwa rais Kikwete?

Uafahamu rais Kikwete ni kaka yake kiumri Lowassa?

Hata Makonda ni mdogo kwa Waziri Jaffo, hushangai?
Unaelimu gani? Tuanze na hapo?
Maana hakuna rais anayeitwa kikwete duniani
 
Afanikiwe mara ngapi na wewe nyie watoto wa 2000 shule mnajifunza english tu?
Tuanze na hapa baba yangu unamjua ni nani?

Simjui lkn najua mafanikio ya binadamu yanaisha siku anapofariki, hivyo kati ya Drogba na Baba yako ungependa yupi azidi kufanikiwa?
 
Hiki ni kifafa cha akili. Badala ya kuangalia namna ya kutengeneza fursa kupitia mzalendo Samata, unakaa kuleta majungu. Umasikini ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…