Tusidanganyane: Samatta ana miaka zaidi ya 35; mtazame yeye kisha mtazame Drogba

Tusidanganyane: Samatta ana miaka zaidi ya 35; mtazame yeye kisha mtazame Drogba

Wabongo tunapenda kuchomana
Wa west africa hawaulizani maswali hyo

Ova
 
Ana miaka 26 na mwaka huu anatimiza 27 mwezi Desemba. Huyo namjua toka yupo mdogo, waliyoanza naye chandimu vilevile nawajua ingawa wapo mtaani hawajafanikiwa kama yeye.

Acha uzushi
Hujaeleweka hebu soma tena ulichoandika
 
Hujaeleweka hebu soma tena ulichoandika
Samatta ana miaka 26 hadi sasa, ilitakiwa iwe 27 lakini kutokana na namba za umri wa kubadilika siku aliyozaliwa. Inahesabika bado hajatimiza umri huo.

Yule kazaliwa Desemba 1992, ni umri wake sahihi hajadanganya kama wewe ulivyoweka porojo.

Namfahamu toka anaanza kucheza soka Mbagala, mambo mengine kama mtu huna uhakika nao ni bora ukae kimya
 
Haujajibu bado, kati ya Baba yako na Drogba ungependelea yupi afanikiwe zaidi? Hakuna mwisho wa mafanikio, vinginevyo akina Bill Gates wasingefanya kazi hadi leo hii.
Unapoteza nguvu bure tu hapo hatakaa akuelewe
 
Samatta toka aanze kucheza kipindi chote kile Lyon, Simba, Mazembe, Genk, Aston Villa na sasa Turkey atakuwa huko huko kwenye 35.

Huyo baada ya hapo Uturuki hawezi tena kucheza kama professional atarejea nyumbani kuchezea akina KMC tu. He is a spent force.
 
View attachment 1113692View attachment 1113693
Hii kusema eti anamiaka 26 ni uwongo uliopitiliza
Dogo anapiga mpira ulaya,anaingiza mkwanja mrefu,watu wanaumia,hata Kama ana miaka 40,kwani hizo pesa anazilipwa ni zako,?
Yaani ukiwa maskini unakuwa mchawi,Kuna watu wanatamani huyu dogo,afukuzwe ulaya,Aje bongo afurie kabisa.
Maskini wanapenda watu wote wawe Kama wao,wapigike na maisha.
 
Samatta toka aanze kucheza kipindi chote kile Lyon, Simba, Mazembe, Genk, Aston Villa na sasa Turkey atakuwa huko huko kwenye 35.

Huyo baada ya hapo Uturuki hawezi tena kucheza kama professional atarejea nyumbani kuchezea akina KMC tu. He is a spent force.
Acheze KMC. Na Kaka Ake
 
Dogo anapiga mpira ulaya,anaingiza mkwanja mrefu,watu wanaumia,hata Kama ana miaka 40,kwani hizo pesa anazilipwa ni zako,?
Yaani ukiwa maskini unakuwa mchawi,Kuna watu wanatamani huyu dogo,afukuzwe ulaya,Aje bongo afurie kabisa.
Maskini wanapenda watu wote wawe Kama wao,wapigike na maisha.
Hivi kwa wiki anakunja M ngap za madafu?
 
Back
Top Bottom