Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunataka mafanikio mambo ya miaka tunaachana nayoMzungu huwezi danganya miaka
Wote wafanikiweKati ya Samata na Drogba ungependa yupi afanikiwe zaidi?
Unaninyooeshea vyema wajuajiTafuta wewe ambaye huna mm ninazo ndo maana napata hata mda wa kufikiria haya mengne
Ana miaka 26 na mwaka huu anatimiza 27 mwezi Desemba. Huyo namjua toka yupo mdogo, waliyoanza naye chandimu vilevile nawajua ingawa wapo mtaani hawajafanikiwa kama yeye.
Samatta ana miaka 26 hadi sasa, ilitakiwa iwe 27 lakini kutokana na namba za umri wa kubadilika siku aliyozaliwa. Inahesabika bado hajatimiza umri huo.Hujaeleweka hebu soma tena ulichoandika
Unapoteza nguvu bure tu hapo hatakaa akueleweHaujajibu bado, kati ya Baba yako na Drogba ungependelea yupi afanikiwe zaidi? Hakuna mwisho wa mafanikio, vinginevyo akina Bill Gates wasingefanya kazi hadi leo hii.
Ukwel mchungu ndo huu mbwana samatta ana miaka 31 akiwa simba kipind wanataka kummuza kwenda TP mazembe simba wakaona wacheat umri ili kumpa maana uku nje wanathamin sn umri ktk soka
Ndo maana pancha nyingi pale.
Dogo anapiga mpira ulaya,anaingiza mkwanja mrefu,watu wanaumia,hata Kama ana miaka 40,kwani hizo pesa anazilipwa ni zako,?
Acheze KMC. Na Kaka AkeSamatta toka aanze kucheza kipindi chote kile Lyon, Simba, Mazembe, Genk, Aston Villa na sasa Turkey atakuwa huko huko kwenye 35.
Huyo baada ya hapo Uturuki hawezi tena kucheza kama professional atarejea nyumbani kuchezea akina KMC tu. He is a spent force.
Hivi kwa wiki anakunja M ngap za madafu?Dogo anapiga mpira ulaya,anaingiza mkwanja mrefu,watu wanaumia,hata Kama ana miaka 40,kwani hizo pesa anazilipwa ni zako,?
Yaani ukiwa maskini unakuwa mchawi,Kuna watu wanatamani huyu dogo,afukuzwe ulaya,Aje bongo afurie kabisa.
Maskini wanapenda watu wote wawe Kama wao,wapigike na maisha.