Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Hii kawaida kwa wachezaji hasa wa Kiafrica lazima uwe na umri mbili yaani umri halisi wa kuzaliwa na umri wa kuchezea mpira, achilia mbali Samata ata wengine kwenye ligi ya nyumbani
ππππ ndio hivyo bro tena huyo jamaa umri wake ndio umeganda hautembei kabisa na usipokua makini utampita sasa hiviOkwi namsikia tang nipo primary
Leo nalingana nae umri [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua hii mada itakuja tu humu jukwaani hasa baada ya jamaa kunyoa upara, sura yake halisi imekuja.
Ushauri:
Samatta usinyoe tena upara hayo mambo muachie Athumani Iddi Chuji
Okwi namsikia tang nipo primary
Leo nalingana nae umri [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wao wanamfuatilia Wema, si bora we unamfuatilia SamataSamatta ni maarufu lazima afuatiliwe
Mimi namzidi Sadio Mane, Wanyama na Diego Costa zaidi ya miaka mi4 lkn nashangaa sana kwanini usoni ni wakubwa sana kuliko mimi wa 86 ikiwa bado nina mwili mkubwa kuliko wao [emoji848][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hivyo bro tena huyo jamaa umri wake ndio umeganda hautembei kabisa na usipokua makini utampita sasa hivi
πππ Watu wana vyeti viwili viwili mkuu hao jamaa hujawapita ni kaka zako tuMimi namzidi Sadio Mane, Wanyama na Diego Costa zaidi ya miaka mi4 lkn nashangaa sana kwanini usoni ni wakubwa sana kuliko mimi wa 86 ikiwa bado nina mwili mkubwa kuliko wao [emoji848][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] Watu wana vyeti viwili viwili mkuu hao jamaa hujawapita ni kaka zako tu
Nakupa homework mfanyie ushushushu na Kagele...
Nikweli Kagele kwa utuuzima aliokuanao anafanya makubwa hivi tumuombee akifika ujana naimani atafika mbali sana πHuyo ndiye Baba lao kuliko hata wachezaji wote tunaowajadili hapa uwanjani, sema tu huwa namkubali sn anavyojituma uwanjani kwa nguvu alizonazo kutetea umri wake kuliko Okwi[emoji119][emoji23]
[emoji3][emoji3]Nikweli Kagele kwa utuuzima aliokuanao anafanya makubwa hivi tumuombee akifika ujana naimani atafika mbali sana [emoji3]
Ulitakaje sasa naye astaff au?