Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
 
CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
 
Kakutana na misukure yake ana bwabwaja kwa mihemko tu!
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄

Umesikia M23 wako wapi now?

Gaddafi alikuwa na mawazo kama hayo Leo Yuko wapi?

Sio kila kitu cha kutake for granted
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
 
CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Hao wabunge wengi wanapatikanaje bila tume huru? Ndivyo mnavyojidanganya?
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Tunataka reforms bwashee sio changa la macho la mijizi ccm kufanya uchafuzi wakisingizia ni uchaguzi.
 
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Hilo la Lisu kuwa Rais linawezekana kwa sababu Mkapa na Magufuli Hakunaga Mtu aliamini wangekuwa Marais 😄😄

Wapiga Kura wa Tanzania humchagua Mtu yoyote yule Ndio sababu Babu Tale yuko Bungeni
 
Tunataka reforms bwashee sio changa la macho la mijizi ccm kufanya uchafuzi wakisingizia ni uchaguzi.
Reform zilishafanyika kupitia Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara Wakati huo nyie Chadema mlikuwa mnalamba Asali ya Maridhiano 😀
 
Ila ipo sheria inaruhusu wizi wa kura?
wizi wa kura ni pambio la excuses , kama chama majimbo waliyoshinda hayafiki hata 50 % ya 1/3 ya viti vyote, ndyo unaamini urais alishinda pia? 😎
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Dola tulivu hulindwa kwa njia yoyote iwayo.....

Sudan hapakaliki.....
DRC ndiyo hivyo.....

Wabelgiji wale wa KONGO ya zamani leo wamekuja na mbinu mbadala.... DEMOKRASIA ya rafiki wa Brussels ndg.Tundu Lissu.....

Tanzania ndio "shockabsorber" ya utulivu wa maeneo yetu haya.....wameamua kutuingiza katika matatizo ili kuikomesha hiyo "shockabsorber"....

Demokrasia gani ya kuziingiza nchi katika matatizo makubwa na yenye gharama kubwa?!!

Tuwapuuze wajinga na wapumbavu.....

#Nchi Kwanza !!
 
CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Unadhani wakiwa na wabunge wengi ndio sheria zitafuatwa. Rejea upuuzi uliofanyika wa kupindisha sheria wakati wa bunge la katiba. Baada ya cdm kupata halmashauri nyingi uchaguzi wa 2015 si tuliona sheria nyingi zikioindishwa ili halmashauri zisitoe maendeleo chini ya cdm?
 
Ukisikia ubwege ni kama huu ulioandika.

Yaani unashindwa kujua kuwa katiba yetu inatamka wazi kuwa ni jukumu la kila raia kuzuia uhalifu unapoonekana ni dhahiri.

Wananchi wote wenye akili timamu na wazalendo wa kweli, tuungane kuzuia ushetani wa Mwenyekiti wa CCM na CCM.
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Na wewe uneshindwa kumwelewa Lisu!!?hata clip ya dokta slaa pia ulishindwa kuielewa!!

Kule Monduli Kuna kiongozi wa mabaka pia alihamasisha wenzake kuhusu uchaguzi nayo hukuielewa!!?

Kifupi ni kwamba vyombo vya Dola havina msemaji wao kisiasa Kwa Sasa Lisu ndio anaweza kuwa speaker yao rasmi!!

Dola ndio hukipa chama dola kwa mbeleko ya uhalalishaji kupitia uchaguzi!Dola ikigawanyika nani apewe dola kunakua na vurugu na vurugu zitatishia uhai wa sisi ccm kushika dola!!!

Elewa!
 
Back
Top Bottom