johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
NadhaniIla ipo sheria inaruhusu wizi wa kura?
Kakutana na misukure yake ana bwabwaja kwa mihemko tu!Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π
Uliamini Halima Mdee aliibiwa Kura Kawe? πππIla ipo sheria inaruhusu wizi wa kura?
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etcTanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π
Hao wabunge wengi wanapatikanaje bila tume huru? Ndivyo mnavyojidanganya?CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Tunataka reforms bwashee sio changa la macho la mijizi ccm kufanya uchafuzi wakisingizia ni uchaguzi.Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π
Hilo la Lisu kuwa Rais linawezekana kwa sababu Mkapa na Magufuli Hakunaga Mtu aliamini wangekuwa Marais ππKimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Reform zilishafanyika kupitia Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara Wakati huo nyie Chadema mlikuwa mnalamba Asali ya Maridhiano πTunataka reforms bwashee sio changa la macho la mijizi ccm kufanya uchafuzi wakisingizia ni uchaguzi.
Tunataka tume ya Warioba na mchakato wa katiba mpya.Reform zilishafanyika kupitia Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara Wakati huo nyie Chadema mlikuwa mnalamba Asali ya Maridhiano π
wizi wa kura ni pambio la excuses , kama chama majimbo waliyoshinda hayafiki hata 50 % ya 1/3 ya viti vyote, ndyo unaamini urais alishinda pia? πIla ipo sheria inaruhusu wizi wa kura?
Dola tulivu hulindwa kwa njia yoyote iwayo.....Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π
Unadhani wakiwa na wabunge wengi ndio sheria zitafuatwa. Rejea upuuzi uliofanyika wa kupindisha sheria wakati wa bunge la katiba. Baada ya cdm kupata halmashauri nyingi uchaguzi wa 2015 si tuliona sheria nyingi zikioindishwa ili halmashauri zisitoe maendeleo chini ya cdm?CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Na wewe uneshindwa kumwelewa Lisu!!?hata clip ya dokta slaa pia ulishindwa kuielewa!!Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana π