Uchaguzi 2020 Tusidanganyane! Tundu Lissu ndie mpinzani pekee anaeweza kumpa ushindani Rais Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oct 2020

Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya urais kupitia CHADEMA.

Mbowe una mapungufu mengi uliyosababishia chama chetu kiasi Cha kufanya tupoteze imani kwa wananchi. Kosa lako kubwa Ni mwaka 2015 kushawishi na kutuletea Mwana CCM Lowasa kugombea nafasi ya just kwenye chama chetu Cha CHADEMA ( Ni chama chetu sisi wapinzani kwa maana kinapokea ruzuku kutoka serikalini kwa sababu Ni chama Cha siasa kwa ajili ya watu was watanzania. Kwa hiyo CHADEMA sio Cha mbowe Wala kundi la watu Fulani) kwa kosa Hilo moja kubwa na la kung'ang'ania kwenye madaraka ya Uenyekiti wa nyama sidhani Kama hata ulistahili kuchukua form ya kugombea Urais kupitia chama chetu hiki Cha CHADEMA.

The same kwa wagombea wengine waliomba ridhaa ya chama kuwapitisha kugombea Urais kupitia CHADEMA, kiukweli mna CV nyepesi Sana endapo mtapewa jukumu Hilo kwenda kupambana na jiwe. Rais Magafuli kajipanga Sana kwa vitu vionekanavyo, na mnajua watanzania wanatatizo la kushabikia vitu vionekanavyo kwa macho kuliko hoja kwa hapa rais Magafuli atakuwa anawachapa to bila huruma mpaka mnaweza mkajikuta mnazomewa kwenye viwanja vya kampeni.

Kwa namna rais Magafuli alivyojipanga anaitaji mtu Mwenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja na anaetembea nae bampa2bampa yaani Mwenye uwezo wa kuchimba data na kuonesha negative growth inayotokana na uamuzi was rais Pekee katika miradi isiyowagusa wananchi wengi was kipato Cha chini hapo utakuwa unamuumbua rais pasipo kutegemea.
Ndio maana Kati ya wote waliochukua form ya kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA Mimi napendekeza TUNDU ANTIPAS LISSU Kugombea Urais kupitia CHADEMA.

Huyu bwana Yuko vizuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja mtayaamini haya endapo kipindi cha kampeni rais Magafuli atakubali kukaa meza moja ya mahojiano na kiongozi Tundu Lissu.

Kitu Cha pili kitakachombeba Tundu Lissu Ni huruma ya wananchi wasl watanzania pale watakapokuwa wakimuona Tundu Lissu akiwa anachechemea kutokana na kupigwa risasi na watu wanaosemekana kwamba Ni "wasiojulikana" na serikali ya Magafuli haijawi kuja na majibu ya kushika wahusika huku wao ndio wamiliki was vyombo vyote vya Dora.

CHADEMA tusifanye makosa kumpa nafasi bwana Tundu Antipas Lissu kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA, hiyo Ni Lulu inayotembea na niwaombe CCM Kama mnaipenda nchi kuweni huru kumuacha Tundu Lissu apambane na Magufuli wenu halafu muone Nini kitatokea.

Hila Tundu Lissu usiogope kuja Tanzania kisa watesi wako Hawa wa chache wa kukudhoofisha mwili tambua unaitajika Sana katika taifa hili ili kukamilisha kazi ulioianza ya kutetea rasilimali na kupinga ufisadi unaoendelezwa na CCM kisa kukumbatia mifumo ya kikoloni inayowapa utukufu kundi la watu wachache.
Kwa hiyo ulitaka Chadema wafanye kama CCM yaani ingechapishwa form moja tu ya Tundu Lissu?
 
Lema ameshakataa nenda kamuombe abadirishe msimamo. Lakini kwa taarifa yako Rais Magufuli hana wakushindana naye!!
Pasipo na tume huru hana wa kushindana nae ila penye tume huru anaondoka mapema sana.
 
Huyo Hana hoja ya kupambana na Magufuli labda Kama ameisha inunua CHADEMA Ili imupitishe
Ulishawahi kumsikia huyo kuongozi wako akitoa hoja, unaishi nchi gani kwa sasa. Nchi yetu ilishapoteza vichwa vyenye hoja for a long time.
 
Tundu Lisu Aongelee kupambana na wagombea akina Mbowe, Nyalandu nk ndani ya Chadema Kama atawashinda Magufuli sio saizi yake .Saizi yake hao wagombea wenzie ndani ya Chadema waliotia Nia Kugombea kuteuliwa ugombea uraisi ndani ya Chadema

Huwezi rukia chuo kikuu wakati mtihani hata wa shule ya msingi hujafanya na kufaulu

Ahangaike kufaulu mtihani huo alionao chadema Kwanza wa kugombania uteuzi
 
Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya urais kupitia CHADEMA.

Mbowe una mapungufu mengi uliyosababishia chama chetu kiasi Cha kufanya tupoteze imani kwa wananchi. Kosa lako kubwa Ni mwaka 2015 kushawishi na kutuletea Mwana CCM Lowasa kugombea nafasi ya just kwenye chama chetu Cha CHADEMA ( Ni chama chetu sisi wapinzani kwa maana kinapokea ruzuku kutoka serikalini kwa sababu Ni chama Cha siasa kwa ajili ya watu was watanzania. Kwa hiyo CHADEMA sio Cha mbowe Wala kundi la watu Fulani) kwa kosa Hilo moja kubwa na la kung'ang'ania kwenye madaraka ya Uenyekiti wa nyama sidhani Kama hata ulistahili kuchukua form ya kugombea Urais kupitia chama chetu hiki Cha CHADEMA.

The same kwa wagombea wengine waliomba ridhaa ya chama kuwapitisha kugombea Urais kupitia CHADEMA, kiukweli mna CV nyepesi Sana endapo mtapewa jukumu Hilo kwenda kupambana na jiwe. Rais Magafuli kajipanga Sana kwa vitu vionekanavyo, na mnajua watanzania wanatatizo la kushabikia vitu vionekanavyo kwa macho kuliko hoja kwa hapa rais Magafuli atakuwa anawachapa to bila huruma mpaka mnaweza mkajikuta mnazomewa kwenye viwanja vya kampeni.

Kwa namna rais Magafuli alivyojipanga anaitaji mtu Mwenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja na anaetembea nae bampa2bampa yaani Mwenye uwezo wa kuchimba data na kuonesha negative growth inayotokana na uamuzi was rais Pekee katika miradi isiyowagusa wananchi wengi was kipato Cha chini hapo utakuwa unamuumbua rais pasipo kutegemea.
Ndio maana Kati ya wote waliochukua form ya kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA Mimi napendekeza TUNDU ANTIPAS LISSU Kugombea Urais kupitia CHADEMA.

Huyu bwana Yuko vizuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja mtayaamini haya endapo kipindi cha kampeni rais Magafuli atakubali kukaa meza moja ya mahojiano na kiongozi Tundu Lissu.

Kitu Cha pili kitakachombeba Tundu Lissu Ni huruma ya wananchi wasl watanzania pale watakapokuwa wakimuona Tundu Lissu akiwa anachechemea kutokana na kupigwa risasi na watu wanaosemekana kwamba Ni "wasiojulikana" na serikali ya Magafuli haijawi kuja na majibu ya kushika wahusika huku wao ndio wamiliki was vyombo vyote vya Dora.

CHADEMA tusifanye makosa kumpa nafasi bwana Tundu Antipas Lissu kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA, hiyo Ni Lulu inayotembea na niwaombe CCM Kama mnaipenda nchi kuweni huru kumuacha Tundu Lissu apambane na Magufuli wenu halafu muone Nini kitatokea.

Hila Tundu Lissu usiogope kuja Tanzania kisa watesi wako Hawa wa chache wa kukudhoofisha mwili tambua unaitajika Sana katika taifa hili ili kukamilisha kazi ulioianza ya kutetea rasilimali na kupinga ufisadi unaoendelezwa na CCM kisa kukumbatia mifumo ya kikoloni inayowapa utukufu kundi la watu wachache.
Lisu hawezi kuwa rais kama antegemea kura za wananchi, lazima awe na chombo X cha kumpa support.
 
Bavicha hawajui wamchague nani kati ya lissu na mbowe
Lissu atakwama tu,ataambiwa aje achukue mwenyewe fomu ufipa na yeye anaogopa
Haya sasa
Lisu kashachukua form, sijui aibu yako unaiweka wapi
 
Watumishi wa umma miaka 5 bila nyongenza. Mtu anachukua form ya kugombea; bila kuwa na huruma.
 
Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya urais kupitia CHADEMA.

Mbowe una mapungufu mengi uliyosababishia chama chetu kiasi Cha kufanya tupoteze imani kwa wananchi. Kosa lako kubwa Ni mwaka 2015 kushawishi na kutuletea Mwana CCM Lowasa kugombea nafasi ya just kwenye chama chetu Cha CHADEMA ( Ni chama chetu sisi wapinzani kwa maana kinapokea ruzuku kutoka serikalini kwa sababu Ni chama Cha siasa kwa ajili ya watu was watanzania. Kwa hiyo CHADEMA sio Cha mbowe Wala kundi la watu Fulani) kwa kosa Hilo moja kubwa na la kung'ang'ania kwenye madaraka ya Uenyekiti wa nyama sidhani Kama hata ulistahili kuchukua form ya kugombea Urais kupitia chama chetu hiki Cha CHADEMA.

The same kwa wagombea wengine waliomba ridhaa ya chama kuwapitisha kugombea Urais kupitia CHADEMA, kiukweli mna CV nyepesi Sana endapo mtapewa jukumu Hilo kwenda kupambana na jiwe. Rais Magafuli kajipanga Sana kwa vitu vionekanavyo, na mnajua watanzania wanatatizo la kushabikia vitu vionekanavyo kwa macho kuliko hoja kwa hapa rais Magafuli atakuwa anawachapa to bila huruma mpaka mnaweza mkajikuta mnazomewa kwenye viwanja vya kampeni.

Kwa namna rais Magafuli alivyojipanga anaitaji mtu Mwenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja na anaetembea nae bampa2bampa yaani Mwenye uwezo wa kuchimba data na kuonesha negative growth inayotokana na uamuzi was rais Pekee katika miradi isiyowagusa wananchi wengi was kipato Cha chini hapo utakuwa unamuumbua rais pasipo kutegemea.
Ndio maana Kati ya wote waliochukua form ya kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA Mimi napendekeza TUNDU ANTIPAS LISSU Kugombea Urais kupitia CHADEMA.

Huyu bwana Yuko vizuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja mtayaamini haya endapo kipindi cha kampeni rais Magafuli atakubali kukaa meza moja ya mahojiano na kiongozi Tundu Lissu.

Kitu Cha pili kitakachombeba Tundu Lissu Ni huruma ya wananchi wasl watanzania pale watakapokuwa wakimuona Tundu Lissu akiwa anachechemea kutokana na kupigwa risasi na watu wanaosemekana kwamba Ni "wasiojulikana" na serikali ya Magafuli haijawi kuja na majibu ya kushika wahusika huku wao ndio wamiliki was vyombo vyote vya Dora.

CHADEMA tusifanye makosa kumpa nafasi bwana Tundu Antipas Lissu kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA, hiyo Ni Lulu inayotembea na niwaombe CCM Kama mnaipenda nchi kuweni huru kumuacha Tundu Lissu apambane na Magufuli wenu halafu muone Nini kitatokea.

Hila Tundu Lissu usiogope kuja Tanzania kisa watesi wako Hawa wa chache wa kukudhoofisha mwili tambua unaitajika Sana katika taifa hili ili kukamilisha kazi ulioianza ya kutetea rasilimali na kupinga ufisadi unaoendelezwa na CCM kisa kukumbatia mifumo ya kikoloni inayowapa utukufu kundi la watu wachache.
Mkuu, tunawnda na Membe. Jasusi mbobezi.
 
Ccm watahakikisha akirudi tu wanamweka ndani, demokrasia imeondolewa nchini tusikubali uozo huu watanzania.
Aliondoka akiwa na kesi mahalamani, kesi iko palepale! Na kaonekana anazurura zuruta huko, anaidharau mahakama! Akitua tu ni kukamatwa.
 
Chadema mmechanganyikiwa.
hamjui mpaka sasa mshike lipi.alafu vitu vidogo vinawashinda ndo mnataka nchi!!.
 
Aliondoka akiwa na kesi mahalamani, kesi iko palepale! Na kaonekana anazurura zuruta huko, anaidharau mahakama! Akitua tu ni kukamatwa.
Wewe huna tofauti na huyo shetani kwenye avatar yako.
 
Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya urais kupitia CHADEMA.

Mbowe una mapungufu mengi uliyosababishia chama chetu kiasi Cha kufanya tupoteze imani kwa wananchi. Kosa lako kubwa Ni mwaka 2015 kushawishi na kutuletea Mwana CCM Lowasa kugombea nafasi ya just kwenye chama chetu Cha CHADEMA ( Ni chama chetu sisi wapinzani kwa maana kinapokea ruzuku kutoka serikalini kwa sababu Ni chama Cha siasa kwa ajili ya watu was watanzania. Kwa hiyo CHADEMA sio Cha mbowe Wala kundi la watu Fulani) kwa kosa Hilo moja kubwa na la kung'ang'ania kwenye madaraka ya Uenyekiti wa nyama sidhani Kama hata ulistahili kuchukua form ya kugombea Urais kupitia chama chetu hiki Cha CHADEMA.

The same kwa wagombea wengine waliomba ridhaa ya chama kuwapitisha kugombea Urais kupitia CHADEMA, kiukweli mna CV nyepesi Sana endapo mtapewa jukumu Hilo kwenda kupambana na jiwe. Rais Magafuli kajipanga Sana kwa vitu vionekanavyo, na mnajua watanzania wanatatizo la kushabikia vitu vionekanavyo kwa macho kuliko hoja kwa hapa rais Magafuli atakuwa anawachapa to bila huruma mpaka mnaweza mkajikuta mnazomewa kwenye viwanja vya kampeni.

Kwa namna rais Magafuli alivyojipanga anaitaji mtu Mwenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja na anaetembea nae bampa2bampa yaani Mwenye uwezo wa kuchimba data na kuonesha negative growth inayotokana na uamuzi was rais Pekee katika miradi isiyowagusa wananchi wengi was kipato Cha chini hapo utakuwa unamuumbua rais pasipo kutegemea.
Ndio maana Kati ya wote waliochukua form ya kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA Mimi napendekeza TUNDU ANTIPAS LISSU Kugombea Urais kupitia CHADEMA.

Huyu bwana Yuko vizuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja mtayaamini haya endapo kipindi cha kampeni rais Magafuli atakubali kukaa meza moja ya mahojiano na kiongozi Tundu Lissu.

Kitu Cha pili kitakachombeba Tundu Lissu Ni huruma ya wananchi wasl watanzania pale watakapokuwa wakimuona Tundu Lissu akiwa anachechemea kutokana na kupigwa risasi na watu wanaosemekana kwamba Ni "wasiojulikana" na serikali ya Magafuli haijawi kuja na majibu ya kushika wahusika huku wao ndio wamiliki was vyombo vyote vya Dora.

CHADEMA tusifanye makosa kumpa nafasi bwana Tundu Antipas Lissu kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chetu Cha CHADEMA, hiyo Ni Lulu inayotembea na niwaombe CCM Kama mnaipenda nchi kuweni huru kumuacha Tundu Lissu apambane na Magufuli wenu halafu muone Nini kitatokea.

Hila Tundu Lissu usiogope kuja Tanzania kisa watesi wako Hawa wa chache wa kukudhoofisha mwili tambua unaitajika Sana katika taifa hili ili kukamilisha kazi ulioianza ya kutetea rasilimali na kupinga ufisadi unaoendelezwa na CCM kisa kukumbatia mifumo ya kikoloni inayowapa utukufu kundi la watu wachache.
Kuwazuia watu wengine wasichukue fomu ni udikteta kama Tundu Lissu lazima apimwe kwa hoja na wenzake badala ya kumpitisha kwa mchakato wa kidemokrasia.

Tunapigania demokrasia ila hatutaki kuifanya hiyo demokrasia ndani ya vyama vyetu this is not right.
 
Kwakweli ifike mahara CDM wasome nyakati, kipiñdi hiki siyo cha kusimamisha mtu kwenye nafasi ya urais ili mradi tu hapana, nashindwa kuelewa kama nikweli watu wanne zaidi wameonesha nia ya kugombea urais ndani ya CHADEMA(CDM) ambao ni MBOWE, MSIGWA, NYARANDU, LISSU nk tusitegemee upinzani tena wao wangefanya namna wakubaliane na kumuacha LISSU pekee kwenye hiyo nafasi na wamsapoti, na ukishagombea urais tyl huwezi kugombea ubunge tena, hizi ni tamaa.
Chama lazima kipate viongozi wa kitaifa kupitia mchakato wa kidemokrasia haya mambo ya kuchagua viongozi kwa kivuli cha busara siyo sahihi.

Tutajitofautisha vipi na ccm ambao wanaprint form moja tu? Tuache watia nia tuwapime kwa hoja zao na uwezo wao wa kiuongozi.
 
Back
Top Bottom