Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Kuna wafanyabiashara wasio waaminifu wanauza virutubisho viitwavyo Trevo. Soko lao kubwa ni waathirika wa UKIMWI. Kwa bahati mbaya sana, wengine wanatumia uwongo ili kupata wateja wengi kwamba Trevo inaponya UKIMWI.

Baadhi ya wagonjwa wameambiwa wanapaswa kutumia chupa 36 za Trevo ili kupona.

Chupa moja ya Trevo inakadiriwa kuuzwa kwa bei ya 150,000/= kama si mwanachama, na 100,000/= ikiwa wewe ni mwanachama.
Nimesikia sifa nyingi za Trevo sawasawa na virutubisho vingine kama Plumpy'Nut, lakini Trevo na hata hizo Plumpy'Nut si tiba ya UKIMWI. Mpaka sawa hakuna dawa ya kuponya UKIMWI.

Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa ndugu na jamaa.
 
Hehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.

Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.
 
Pia nimeshangaa sana anatibu ukimwi while dunia inazidi kuangamia kwa huo ugonjwa, si angekuwa anajulikana dunia nzima
 
Hehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.

Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.
Wewe ngojea mpaka dunia initambuwe lakini ninao watibia wanapona na kuendelea kufanya shughuli zao kama kawaida sio tu ukimwi ninatibu Ugonjwa wa Sarataniya aina yoyote ile ugonjwa Kisukari ugonjwa wa Pumu,ugonjwa wa kifafa ugonjwa wa kiharusi, Maradhi ya Tezi dume, Ugonjwa wa vidonda vya tumbo, Maradhi ya Hepatitis B virus,Maradhi ya UTI. Genital Warts, Hepatitis, Herpes, HIV/AIDS, Human Papilloma Virus, Measles, Shingles, Warts. Kazi kwako Mkuu dreson
 
Last edited by a moderator:
Dr Sebi: Man Found "Cures For All Diseases" AND Has The Supreme Court Ruling To Prove It!

Last edited by a moderator:
Mimi nimehudhuria semina tangu day 1 hata alipokuja mwenye Trevo tulikula naye dinner pale hayyat hotel zamani kempisk hajawahi kusema inaponya ukimwi ila inaweza kurudisha kinga pale utakapokuwa unainywa consecutively hitakiwi uache unaweza kupona presha pia! kwani Trevo ni mchanganyiko wa matunda yasiyoongezwa kitu chochote kile
 
Mimi kama mkufunzi wa Trevo nawaambia kuwa TREVO SI DAWA,NI LISHE BORA yenye mchanganyiko wa virutubisho 174 vya mbogamboga,matunda,mizizi,mbegu hivyo kukifanya kuwa kirutubisho kinachosaidia zaidi ya 60% ya magonjwa yanayotokana na lishe hafifu na kurejesha,huisha celli za mwili na kukufanya ujisikie poa kabisa kwa uwezo wake mkubwa sana wa kutoa sumu mwilini kwa kipimo cha ORAC 373000+ kwa chupa 1 yenye oz 32.
 
Good people...unaposema unatibu ukimwi basi utuambie unaujuaje ukimwi...unaupimaje...na dawa zako zina intervern vipi katika vipimo vyako mpaka uridhirike na kusema umemponesha mtu...
 
Mie nilishuhudia kiongozi aliye organize wagonjwa wa ukimwi chato, kwenda kutibiwa loliondo.....alikiri matokeo yalikua mabaya sana kwakweli..tuwe na huruma.kwa jamii jamani....watu wanatengeneza hela kutokana na watu kuchanganyikiwa..
 
Mimi nimeudhuria semina tangu day 1 hata alipokuja mwenye Trevo tulikula naye dinner pale hayyat hotel zamani kempisk hajawahi kusema inaponya ukimwi ila inaweza kurudisha kinga pale utakapokuwa unainywa consecutively hitakiwi uache unaweza kupona presha pia!kwani Trevo ni mchanganyiko wa matunda yasiyoongezwa kitu chochote kile
Mkuu ukiambiwa lishe hiyo inaponyesha presha ujue umeliwa, pesa nyingi sana zinatumika kutafuta cure ya haya magonjwa, lakini haijapatikana mpaka sasa.
 
Wewe ngojea mpaka dunia initambuwe lakini ninao watibia wanapona na kuendelea kufanya shughuli zao kama kawaida sio tu ukimwi ninatibu Ugonjwa wa Sarataniya aina yoyote ile ugonjwa Kisukari ugonjwa wa Pumu,ugonjwa wa kifafa ugonjwa wa kiharusi, Maradhi ya Tezi dume, Ugonjwa wa vidonda vya tumbo, Maradhi ya Hepatitis B virus,Maradhi ya UTI. Genital Warts, Hepatitis, Herpes, HIV/AIDS, Human Papilloma Virus, Measles, Shingles, Warts. Kazi kwako Mkuu dreson

Siwezi kupinga wala kukubaliana na wewe pasipo kutafiti zaidi. ila nashangaa kitu kimoja, imekuwaje hadi sasa umeponyesha mgonjwa MMOJA TU wa UKIMWI? Ina maana hakuna wanaojitokeza kufuata tiba hiyo au attempts nyingine hazizai matunda? Au huyo mmoja umeweka kama mfano tu (ethics and Patient-doctor confidentiality observed)? Kwa jinsi watu walivyo desperate, nina hakika watakuwa wamekuja wengi. Refer issue ya Babu wa Loliondo.
 
Wengine wawili ninawatibia nilimponya huyo mgonjwa mmoja kwa majaribio ya dawa yangu sasa nimetangaza kuwa ninatibu ukimwi kwa hakika dawa zangu zinafanya kazi. Mkuu Utotole
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu kisayansi hakuna tiba ya UKIMWI mpaka sasa. Lakini kuna ajabu kubwa, kwamba baadhi ya magonjwa kama hypertension (tuite presha), tafiti zikifanywa hata wale wachache waliotumia placebo huwa kuna matokeo madogo ya kushusha presha, ingawa placebo si dawa.
Mkuu Ozzie Dawa ya kutibu Ukimwi ipo Wazungu wameamuwa kuificha ili Watu duniani wapate kupunguwa.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.

Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.

Mzizimkavu humuamini hata na vitabu vya dini huviamini, hakuna ugonjwa usio na tiba duniani
 
Wengine wawili ninawatibia nilimponya huyo mgonjwa mmoja kwa majaribio ya dawa yangu sasa nimetangaza kuwa ninatibu ukimwi kwa hakika dawa zangu zinafanya kazi. Mkuu Utotole
Kwa hiyo hao wawili ndio GUINNEA PIGS wako?
 
Kwani wewe nimekulazimisha uje kwangu kutibiwa? kwani hakuna Hospitali? huna maneno ya kuzungumza sijamlazimisha mtu aje kwangu eti nimtibie waliokuwa na shida ya matibabu kwangu watanitafuta kwa wakati wao Mkuu isambe ninakuheshimu na wewe jiheshimu tafadhali sana.
 
Mzizimkavu humuamini hata na vitabu vya dini huviamini, hakuna ugonjwa usio na tiba duniani

Em leta hicho kitabu cha dini alafu ukifungue umtibu mtu, dini watu wameielewa vibaya tu mwisho wa siku ndo unaona watu wanauana kila kona. MziziMkavu hawezi tibu ukimwi, na hakuna dini inayotibu ukimwi nuksi tu.
 
Mkuu Dreson4 Soma katika kitabu cha Biblia: Revelation 22:2. The Herbs Are For The Healing Of The Nations.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom