Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,261
Kuna wafanyabiashara wasio waaminifu wanauza virutubisho viitwavyo Trevo. Soko lao kubwa ni waathirika wa UKIMWI. Kwa bahati mbaya sana, wengine wanatumia uwongo ili kupata wateja wengi kwamba Trevo inaponya UKIMWI.
Baadhi ya wagonjwa wameambiwa wanapaswa kutumia chupa 36 za Trevo ili kupona.
Chupa moja ya Trevo inakadiriwa kuuzwa kwa bei ya 150,000/= kama si mwanachama, na 100,000/= ikiwa wewe ni mwanachama.
Nimesikia sifa nyingi za Trevo sawasawa na virutubisho vingine kama Plumpy'Nut, lakini Trevo na hata hizo Plumpy'Nut si tiba ya UKIMWI. Mpaka sawa hakuna dawa ya kuponya UKIMWI.
Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa ndugu na jamaa.