Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

Huwezi kujadili efficacy ya Trevo kwenye suala la ukimwi kama hujui hata huo ukimwi ni nini.Inasikitisha sana kwamba bado kuna kundi kubwa la watu ambao hawajui maana ya ukimwi,hii ndio kasumba inayotumaliza kijinga sana.Watu wengi wanakufa kutokana na ujinga kama huu.Tafiti zilizowahi kufanywa katika baadhi ya maeneo duniani zinaonesha kwamba bado kuna kundi kubwa la watu ambao bado hawajui tofauti kati ya UKIMWI na VVU(ingawa huyu VVU mwenyewe ni feki).Hili ni tatizo kubwa sana.Mimi siwezi kujadili suala hili watu wakanielewa bila watu hao kujua kwanza maana ya ukimwi.Wewe pamoja na wengine wengi humu kwenye uzi huu hamjui ukimwi ni nini,ndio maana mtu akisema kwamba anaweza kutibu ukimwi watu wanakimbilia kupinga bila kuhoji.Ukijua maana ya ukimwi ni rahisi kuelewa mambo mengi sana ambayo sasa unayapinga;mfano:Nikikwambia kwamba kila mtu hupata ukimwi na kupona pengine bila hata kujijua katika nyakati mbalimbali kwenye maisha yake,utapinga.Hata wewe uliwahi kuwa na ukimwi na ukapona au pengine hata sasa unaweza ukawa na ukimwi lakini hujijui,hata mimi pia,hii pia utapinga.Ukimwi hausababishwi na 'the magic HIV' kama ulivyokaririshwa na serikali ya Marekani kupitia WHO kwa kuingia mikataba na serikali mbalimbali duniani kwa lengo la kuuza tani za ARVs kutoka kwenye viwanda vyao vya madawa.-Unawajua kina Carnegie,J.P Morgan,Rockefeller na kina Ford?-Unaijua vizuri 1910 USA medical reform iliyokuja kuzaa viwanda vya madawa?-Unawajua wamiliki wa FED ya Marekani na malengo yao?-Unajua walioanzisha UNO wana malengo gani?-Unajua kwamba zaidi ya 90% ya chakula unachokula sasa sio organic?Je,unajua ni kwanini?Unahitaji kujua mambo mengi sana kwa undani zaidi ya ujuavyo sasa.Watu wengi wanajua mambo juu juu tu,tena mambo yenyewe wameyajua kupitia radio,TV na magazeti ambapo vyote hivi viko restricted kutoa habari fulani fulani.Watu hawasomi vitabu,hawatembei kuona mambo duniani,hawatumii mitandao ipasavyo,wanategemea main stream media tu.Hata huko mashuleni watu wanakariri tu,hawasomi vitabu vya ziada,husoma vile vya kiada tu na hata hivyo pia hawavisomi sana zaidi kutegemea past papers ili kufaulu mitihani.Mambo haya ndio yanayochangia watu wengi kuwa na uelewa mdogo sana kwenye mambo mengi sana.
 
kipi nilichofanya mpaka ukaona nakuvunjia heshima? , wewe endelea na utabibu wako nakumbuka kuna mmoja nae enzi zile alikuwa ana product yake akiita NGOKA , au ndio wewe umetoka kivingine?
 
Bwana mkubwa huwa napenda sama maelezo kama haya naomba unisaidie kuelewa vizuri ni vipi na mimi labda nimewahi kuumwa huo ukimwi
 
Mzizi mkavu achana nao hao

Kwani wakati wwanavua chupizamalaya sinza ulikuwepo siwalikuwa wanakula bats batani wacha waarishe pambafuzao mnataka kusaidiwa mnaleta dharau..mkiambiwa condominiums mnakimbia loh
 
Bwana mkubwa huwa napenda sama maelezo kama haya naomba unisaidie kuelewa vizuri ni vipi na mimi labda nimewahi kuumwa huo ukimwi

Mtu yeyote hawezi kuugua au kuumwa ukimwi,bali watu huwa na ukimwi/upungufu wa kinga ambao huwafanya waweze kuugua magonjwa mbalimbali kama malaria,TB nk.Hivyo basi,si sahihi kusema kwamba tunaugua/tunaumwa ukimwi kwa kuwa ukimwi ni hali tu ya kupungua/kushuka kwa kinga inayojitikeza kwa kila mtu.Ila ni sahihi kusema tunaugua malaria au tunaugua TB,lakini si ukimwi.

Ukimwi umetumika vibaya kama mwamvuli ambao umefunika magonjwa zaidi ya 30 yanayojitokeza mwilini huku VVU ndiye mshiriki anayesingiziwa kusababisha magonjwa hayo.Ukimwi hausababishwi na VVU.Ni somo refu sana,soma post zangu utaelewa.Mleta mada hii haelewi ukweli huu.
 
Trevo siyo dawa ya chochote. Ni kirutubisho kinachoufanya mwili usiwe weak lakini haitibu kirusi wala bacteria yoyote!. Danganyikeni.
 

Hapo tu kweye red ndipo umekosea. Usikariri kila kitu.
 
Mkuu nimekuelewa vizuri ila naomba unikumbushe hizo mada zako nataka kizitafuta ili nizisome vizuri.
 
dawa ya kuponya ukimwi ni KIFO tu,,hivyo vingine ni BIASHARA tu
 

hahahaa labda ukimwi wa sumbawanga kwa kina mzee nanii yule alie muoa hellen kwa nguvu!!!
 
Tiba mliyonayo nyie watu wa tiba mbadala ni ya Kuongeza nguvu za kiume na hamu ya kufanya tendo la ngono. na hapo mnawapata watu kwa sababu siku hizi watu wengi ni Wazinzi.....
 
ACHENI KUHANGAIKA NA TREVO. HAWANA SCIENTIFIC EVIDENCE KU BACK UP THEIR CLAIMS

KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA HIV( CD4 CHACHE) BASI TATIZO LAKO LIMEPATIWA UFUMBUZI. 4LIFE RESEARCH LLC( 0659-649891; MWENGE DSM) TUNAYOFURAHA KUKUJULISHA KUWA TUNA PRODUCT INAYOITWA 4LIFE TRANSFER FACTOR PLUS4LIFE TRANSFER FACTOR PLUS | Afya4life YENYE UWEZO WA KUONGEZA CD4 ZAKO KWA 437% AMBAYO NI MARA SITA YA ARV( ARV ZINAONGEZA CD4 KWA 70%). KWA HIYO KAMA UNA HIV WE ESTIMATE UKITUMIA HII PRODUCT FOR A PERIOD OF 9-10 MONTHS YOU WILL BE HIV FREE( TUNAO WATU WALIKUWA NA CD4 16 LAKIINI BAADA YA KUTUMIA PRODUCT HII CD4 ZILIFIKA 600 NDANI YA MWEZI MMOJA). GHARAMA NI TSH 277,500

4Life? Transfer Factor Plus? Tri-Factor? Formula helps balance and support the immune system, according to what the body needs. 4Life Transfer Factor proteins and other peptides support the immune system?s ability to respond quickly and effectively. And, because 4Life Transfer Factor is certified, you can place your trust in the sound science and quality of this product.

4Life Transfer Factor Plus Tri Factor Formula provides 4Life?s highest level of immune system support, boosting Natural Killer immune cell function up to 437%. Representing the highest advancement in Transferceutical? Science, it combines the power of Tri-Factor Formula (UltraFactor XF?, OvoFactor?, and NanoFactor? extract) with the Cordyvant? blend to support innate and cellular immunity.
 

Attachments

Watanzania wengi huwa huwa tuna haha hatuna una mashuka na Afya yako kila sldawa utatia tumboni mpaka utakufa
 
MziziMkavu hapo kwenye athsma nitakutafuta. Kama kweli unatibu na ukimwi pia basi mungu akubariki.
 
Last edited by a moderator:
Mzizimkavu humuamini hata na vitabu vya dini huviamini, hakuna ugonjwa usio na tiba duniani

Mkuu ukimwi sio ugonjwa unaouwa watu wengi duniani...Malaria ndio hatari kama ingekuwa ni kupunguza watu, dawa za malaria zisinge kuwepo.....Na vile vile tambua kuwa Silent Killer ni Blood Pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…